Tuesday, January 6, 2009

CRY FOR THE CHILDREN

Picha mali ya AFP
Nov 14 niliandika kuhusu wimbo huu kwenye kipengele cha Them,i & Them na ilikuwa ni kutokana na yaliyokuwa yakiendelea huko Congo. Lakini vita ni vita na haijalishi vyatokea wapi, bado vyaua wasio na hatia na zaidi wasio na uwezo wa kutambua nini chatokea, vipi chatokea, wapi vyatokea na wapi pa kujificha. Na ndio maana wahanga wakuu ni watoto.
Ni wimbo wake Maxi Priest ambaye ameimba kuhusu watoto na hapa ntaacha usome sehemu za wimbo wake kisha uusikilize kujua yale yawakutao maelfu ya watoto Mashariki ya Kati, Kaskazini mwa Uganda, Kongo na kwingineko. Sijui ni kwa nini ama kwa manufaa ya kizazi gani kama ndio hiki kiteketeacho. Wimbo unaitwa CRY FOR THE CHILDREN

"Slow down everyone pay attention let us reason for awhile, I'm worried about this everyday killing that is turning into style. Don't try to convince its normal, playing with human rights. I Don't know about you but I know its brings tears to my eyes."
And I cry for the childrenAnd I pray for them. That someday consciousness will once againBe the answer to our prayers

Now I'm tired of all the goings on around us everyday. How did the little bitty innocent babies become pray, and by the way how could we allow ourselves to go so far, I'm almost certain we've forgotten who we are, I'm wide awake in a dream that never ends, and my heart cries out for help everyday

"...How many more lives do you need for your game? Cause we're counting. How many more mothers will you leave in pain?Cause it's mounting. Could you give me a time or a day, how much longer will we have to wait, will there be sunshine and no trace of crime when I wake? Now I'm tire

5 comments:

Koero Mkundi said...

Mubelwa hii habari inasikitisha sana, nikipata muda nitaandika kwa kirefu, kwani hii mada nilikuwa naiandaa iko jikoni.

Anonymous said...

Watoto zaidi ya mia washauawa kule Gaza... wengine wengi washakuwa apatisk kutokana na hofu kuwa wanaweza kuwa yatima siku yoyote...inasikitisha sana.

Mzee wa Changamoto said...

Karibu Serina na karibu tena Koero.
Inauma saana hasa usipojua kwa nini hakuna amani ama hawataki kuwa na amani.

Simon Kitururu said...

Halafu kuna watakaoshangaa hawa watoto wakikua na kisasi mkichwa:-(

Dr.blogger said...

This murder of innocent children, which is taking place in all parts of the world, to the attention of the whole world, but
Who will Hear Us? ..!!
who will act to save the situation here and there ?
Thank you for sharing us this
S.W from Mosul 4all blog