Msikilize kwa makini Muigizaji, Mchezaji, Mshairi, msimulizi wa hadithi na mwimbaji Anna Mwalagho akieleza mengi kuhusu maisha yake.
Ameeleza alivyoanza mpaka alipofikia, waliomvutia, mafanikio katika kazi na mengine mengi.
Msikilize kwenye mahojiano haya aliyofanya nasi ndani ya studio za Asparagus zilizopo Takoma Park, jimbo la Maryland nchini Marekani
Pia nilimuuliza kilichomsukuma / kusababisha kuandika wimbo wa I REMEMBER ambao binafsi naupenda sana.
Haya hapa chini ni maelezo niliyounganisha na wimbo wenyewe.
Enjoy
Punde baada ya mahojianao wakania IMPROMPTU ACT na Abou.
Hahahahaaaaaaa
Shukrani za pekee kwa Abou Shatry wa Swahilivilla Blog kwa kufanikisha hili
Nimefurahika sana kwa hojaji hii na kibwagizo cha Abou na bi Anna. Nimejifunza mengi zaidi ya kuburudika.
ReplyDeleteKazi nzuri kaka wa mimi,Hongera sana!
ReplyDeleteNimependa kweli mahojiano haya ya dada Ana na kaka Bandio na kaka Abou kumbe nawe una kipaji ..haya ndugu zangu kazi nzuri sana..
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteJamani ee Ahsante sana kwa maoni yenu, yani hadi naona raha ndani ya moyowangu, ila sasa mbona wadhamin hawatokei...!
ReplyDelete