tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post1120239986165274941..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Labda swali si YANINI, bali KWANINI YANINI??Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-16046485313501570542011-04-06T21:09:45.003-04:002011-04-06T21:09:45.003-04:00Sababu au jibu pia lipo, ndiyo maana naye akabahat...Sababu au jibu pia lipo, ndiyo maana naye akabahatika kuingia na kuchangia,Pia kaleta changamoto kwako kaka Mubelwa,kwa wasomaji na yeye pia. Ndiyo akaguswa kukuuiliza!!
Asante kwa Swali lako mpendwa mana kama kaka asinge blog usingeweza pakupata kuuliza swali lako na kuuliza si ujimga ni kujifunza!.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-54637817664943363482011-04-05T03:58:15.178-04:002011-04-05T03:58:15.178-04:00Na kwanini uulize ya nini? ya nini kwanini? Oh mku...Na kwanini uulize ya nini? ya nini kwanini? Oh mkuu nabakia kujiuliza maswali mengi na kuwaza mengi.
Huyu muulizaji labda ningemuuliza kwanini watu wanatunga vitabu? ni swali ataliona halioani na swali lake, lakini kwangu mimi blog ni sawa na kitabu, lakini blog imeenda mabli ziaid kwasababu inakupa nafasi ya kujadili `nusu ya moja kwa moja' na wengine inakuwa `moja kwa moja.
Blog ni uwanja mpana kwani unaweza kupata vitu `bure' ukajifunza, ukaelimika, na kila mmoja anapata uhuru wa kutoa kile akiwazacho.
Kuna usemi usemao, `elimu yako ni dhahabu, lakini dhahabu hiyo haitakuwa na maana kama utaifukia, ili elimu yako iwe na faida, itoe kwa watu..ifanyie kazi...basi kublogi kunasaidia wengi wetu ambao tulikuwa na kitu , na tunataka wengine wakipate, na tulikuwa hatuna njia nyingine huria, hii njia imetupa nafasi hiyo!
Huenda mwenye blog akawa anapoteza muda mwingi sana, lakini ni bora kuhangaika hivyo kuliko `kuifukia ile elimu yake aliyoipata'
Ni hayo tu mkuuemu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-57720006408130033832011-04-05T02:51:36.453-04:002011-04-05T02:51:36.453-04:00Find everything you need to know about Fungal Nail...Find everything you need to know about Fungal Nails Infection including heel pain, Sports Podiatry and orthotics Visit Melbourne Podiatrist and get rid of that pain in your lower limbs and feet. At Melbourne Podiatrist, we help you improve your quality of life.heel painhttp://www.melbournepodiatrist.com.aunoreply@blogger.com