tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post1310296772741647623..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Heri ya siku ya kuzaliwa MamaaaMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger18125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-60008451144428896292009-11-15T07:37:43.509-05:002009-11-15T07:37:43.509-05:00mwenyezi mungu awabariki nakuwazidishia heri na ba...mwenyezi mungu awabariki nakuwazidishia heri na baraka tele hasa katika kipindi ambacho familia imekuwa,najua nimechelewa kuacha ujumbe wangu hapa..heri ya siku yako ya kuzaliwa wifi yangu Mama Paulina..ubarikiwe sana.dina marioshttp://www.dinamarios.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-14179545400044949032009-11-11T16:46:14.647-05:002009-11-11T16:46:14.647-05:00Heri ya kuzaliwa mama P!
Na usichoke kutufinyia h...Heri ya kuzaliwa mama P!

Na usichoke kutufinyia huyu kaka yetu ukihisi uzembe!:-)Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-83801011500529893672009-11-11T11:32:31.967-05:002009-11-11T11:32:31.967-05:00Mimi nafikiri sijachelewa nikisema heri katika sik...Mimi nafikiri sijachelewa nikisema heri katika siku yako ya kuzaliwa Mama P!chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-53566234435508472912009-11-11T10:17:52.334-05:002009-11-11T10:17:52.334-05:00hongera kwa siku ya kuzaliwa mama yetu. kokwa la t...hongera kwa siku ya kuzaliwa mama yetu. kokwa la tunda ulilokula kusherehekea miaka hiyo uliyonayo litoe mti na huo mti ufike miaka mia moja ndipo ule tunda lake tena.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-48356134537525419292009-11-11T06:24:18.261-05:002009-11-11T06:24:18.261-05:00Happy birthday mamaa!!! na hongera sana kwa kazi n...Happy birthday mamaa!!! na hongera sana kwa kazi nzuri unayoifanya,matunda yake tunayaona na wengi tunayafaidi...lol.PASSION4FASHION.TZhttps://www.blogger.com/profile/07390624580058921716noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-49804394405453031962009-11-10T12:20:25.393-05:002009-11-10T12:20:25.393-05:00i think i am late!!! :-( but HAPPY BIRTHDAY MAMA P...i think i am late!!! :-( but HAPPY BIRTHDAY MAMA P!!!!!!!!!Faith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-88478870310722790202009-11-10T10:58:26.965-05:002009-11-10T10:58:26.965-05:00Ok baba P. nadhani umeeleweka hapo heshima kwako.Ok baba P. nadhani umeeleweka hapo heshima kwako.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-48306003775572750162009-11-10T09:58:37.214-05:002009-11-10T09:58:37.214-05:00Kaka kwangu ni pongezi kubwa kwako kwa kumtukuza m...Kaka kwangu ni pongezi kubwa kwako kwa kumtukuza mkeo kwa namna hiyo kwa sababu katika maisha yetu ya kila siku tusipowatukuza hawa wasaidi wetu katika masiha ni jambo baya na ninaimani hata mwenyezi mungu hapendi.

kiukweli fahamu msafiri hachoki endelea kuwa na shemeji yetu kwa amani na upendo.

Happy Birthday mama Changamoto.SHABANI O. KONDOhttps://www.blogger.com/profile/12956031724013690973noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-62264572038345866242009-11-10T09:24:42.210-05:002009-11-10T09:24:42.210-05:00Happy Birthday mama Changamoto!Happy Birthday mama Changamoto!Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-65606902768558948582009-11-10T09:11:50.387-05:002009-11-10T09:11:50.387-05:00Asanteni nyote.
Jamani Da Mija na Da Yasinta mbona...Asanteni nyote.
Jamani Da Mija na Da Yasinta mbona kuna "a" tatu hapo?
Huyo si Mama bali ni Mamaaa. I wish ningeweza kuyaandika haya kwa note ili msome nisomavyo mimi muone tofauti.
Lol
Blessings to you all.Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-484972168055731112009-11-10T07:58:32.486-05:002009-11-10T07:58:32.486-05:00Da Mija nimeona Na nimeshangaa sana.Ila kusema kwe...Da Mija nimeona Na nimeshangaa sana.Ila kusema kweli kwa mimi sitamwita mume wangu baba hata siku moja kwani yeye si baba yangu. Au labda Mzee wa Changamoto anataka uchokozi tu...LOLYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-87047048714166950432009-11-10T06:33:00.747-05:002009-11-10T06:33:00.747-05:00Hongera sana mama wa changamoto, Mungu akuzidishie...Hongera sana mama wa changamoto, Mungu akuzidishie miaka.

** Da yasinta unamwambiaje Mzee wa changamoto kuhusu kumwita mkewe mama?Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-50900670516423180982009-11-10T02:57:36.767-05:002009-11-10T02:57:36.767-05:00heri nyingi na fanaka zije kwako mama changamotoheri nyingi na fanaka zije kwako mama changamotoviva afrikahttps://www.blogger.com/profile/15489261625945286936noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-3824013464666465382009-11-10T02:24:58.757-05:002009-11-10T02:24:58.757-05:00Pongezi nyingi za siku hii ya kuzaliwa wifi mama P...Pongezi nyingi za siku hii ya kuzaliwa wifi mama P.Uwe na wakati mzuri kwa siku hii.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-53228401521980497342009-11-10T01:26:48.195-05:002009-11-10T01:26:48.195-05:00sijui kwa kihaya wanaimbaje ule wimbo wa happy bir...sijui kwa kihaya wanaimbaje ule wimbo wa happy birthday

waiyuka nokuzalwa iwe X3

waiyuka nokuzwalwa mama pau,

waiyuka nokuzwalwe iweeeeeeeeeee

swali; ainémyeka engahai?kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-54660209839245630582009-11-10T00:00:44.958-05:002009-11-10T00:00:44.958-05:00Happy Birthday mama Paulina!Happy Birthday mama Paulina!Mary Damianhttp://www.strictlygospel.wordpress.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-66787991403818095372009-11-09T23:25:23.645-05:002009-11-09T23:25:23.645-05:00Ni siku ya kuzaliwa,
Pongezi nyingi wapewa,
Heri n...Ni siku ya kuzaliwa,
Pongezi nyingi wapewa,
Heri nazo waombewa,
Mola atakujalia.

Ufanikiwe daima,
Kamwe usirudi nyuma,
Zidi kuwa mtu mwema,
Mube atafurahia.

Mola awape baraka,
Awaondolee shaka,
Pendo lisomithilika,
Ndiyo nguzo ya dunia.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-21199664516844233782009-11-09T22:39:22.281-05:002009-11-09T22:39:22.281-05:00Heri kwa sikukuu ya kuzaliwa Mama Changamoto!Heri kwa sikukuu ya kuzaliwa Mama Changamoto!Anonymousnoreply@blogger.com