tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post1329684855033597089..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Twachagua maongezi, maongezi yachagua mawazo na mawazo yatuchagulia jamiiMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-58584554226045318212009-01-29T18:04:00.000-05:002009-01-29T18:04:00.000-05:00Mzee wa Changamoto, hapo umesema kweli. Kama alivy...Mzee wa Changamoto, hapo umesema kweli. Kama alivyosema Kamala, mara nyingi makosa yetu tunawavisha wengine kutokana na uzembe na udhaifu wa kuukubali ukweli; na pengine tu ni kwa sababu ndivyo tunavyofikiri na watu waliotuzunguka ndivyo wanavyotufanya tufikiri. Na kwa kufanya hivyo tunajisikia nafuu - kama vile tumetua mzigo mzito uliokuwa umetuelemea. Ambacho hatutambui ni kwamba tunapofanya hivyo tunapoteza nafasi ya kujikosoa, kujirekebisha na kusonga mbele sisi wenyewe pamoja na jamii yetu. Wakoloni walilitambua jambo hili mapema - kwamba ukitaka kumtawala mtu milele na milele basi korofisha uwezo wake wa kufikiri. Vinginevyo haiwezekani hata kama ungekuwa na silaha za kutisha namna gani. Waulize Wamarekani watakwambia. Mada nzuri hii na uchanya wako uendelee kujieneza na kujitandaza katika jamii.Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-20841891360653966762009-01-28T08:30:00.000-05:002009-01-28T08:30:00.000-05:00Kaka Mubelwa.Huu naona ni utambuzi kabisa,Ahsante ...Kaka Mubelwa.

Huu naona ni utambuzi kabisa,
Ahsante kwa mada hii nzuri.
Usione kimya, huwanapita pita humu kuokota mawili matatu kwa ajili ya kujifunza, nakosa muda wa kuweka maoni
Tuko pamoja kaka.
Tchao!!!!!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-59701698936290344632009-01-28T03:10:00.000-05:002009-01-28T03:10:00.000-05:00ndio maana sipendi siasa ambazo hapo kale nilizizi...ndio maana sipendi siasa ambazo hapo kale nilizizimikia. utajikuta ukilaimu tu badala ya kupongeza na kuangalia tatizo lako liko wapi na ulinyofoe. utambuzi ndio elimu muhimu kwani huwa unajiangalia wewe na kujiweka sawa na hivyo kamam wewe uko sawa katika utendaji wa majukumu yako, basi na wengine huwa sawa.

tunalalamika na kusingizia hata makosa yetu kwa wengine. jikague mwenyewe kwanza. I end here, ngoja niendelee kujikagua mzee tehe tehe tehe..... kwiiiiiiiiihhhhkamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.com