tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post1536273022419299901..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Za Kale vs Maisha ya Sasa...........VIPMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-64138983604996489562010-05-02T09:17:00.168-04:002010-05-02T09:17:00.168-04:00Hongera Mzee wa Changamoto,
umeelezea vizuri huo ...Hongera Mzee wa Changamoto,

umeelezea vizuri huo mwimbo wa VIP hata ule wa kupiga vita AIDS wa Philly B, kifupi umenikumbusha mbaaaaali...

Ubarikiwe zaidiREENhttps://www.blogger.com/profile/12680298449627158284noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-5295993482078126802010-04-26T10:28:03.440-04:002010-04-26T10:28:03.440-04:00Mkuu umenikumbusha mbali sana.Mkuu umenikumbusha mbali sana.chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-18376220229294386352010-04-26T10:21:14.788-04:002010-04-26T10:21:14.788-04:00Kwa mshairi kama mimi, kitu cha kwanza kinachonivu...Kwa mshairi kama mimi, kitu cha kwanza kinachonivuta katika wimbo wowote, ni ufundi wa kuandika mistari. Huwa nawaambia rafiki zangu, napenda sana hizi nyimbo kutokana na ubingwa wa ushairi.
Halafu nashangaa kwanini wanamuziki hawa hawahesabiwi kama mafilosofia.
Ahsante sana kaka kwa tungo muruwa kama hii.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-28564337023568100422010-04-26T05:19:58.719-04:002010-04-26T05:19:58.719-04:00Shukrani saana Uncle Kitime kwa KUTUNZA KUMBUKUMBU...Shukrani saana Uncle Kitime kwa KUTUNZA KUMBUKUMBU na pia kusaidia KUIHAMISHA toka kizazi chenu kuja chetu.
Mengi ambayo nilikuwa na utata nayo juu ya muziki na WANAMUZIKI TANZANIA umeyaweka bayana na kunisaidia kuyatambua vema hivyo kuuelewesha umma wetu kwa uhakika zaidi.
Umezungumzia namna ambavyo "mambo mengine ni ya ajabu sana" na kwangu ninaliona hilo. Kwani sasa nashindwa namna ya kukushukuru kwa kufanikisha suala zima la muziki na wanamuziki na kuacha / kuweka kumbukumbu sahihi isambaayo dunia nzima kwa urahisi na uhakika zaidi.
Kuona kuwa kuna kitu waweza kukumbushwa kupitia kipengele hiki yanifanya niwe speechless na nakushukuru wewe zaidi na WANAMUZIKI WOOOTE WEMA kwa kutuburudisha, kutufunza na kutukomboa kiakili.
Baraka kwako na nashukuru kwa kuendelea "kujishusha" na kusoma habari za muziki na TUNZI HIZI ZA HALI YA JUU toka kwetu vijana
Baraka kwakoMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-73811710704296865692010-04-26T01:53:00.569-04:002010-04-26T01:53:00.569-04:00Unajua mambo mengine ni ya ajabu sana. Nakumbuka t...Unajua mambo mengine ni ya ajabu sana. Nakumbuka toka mwanzo wa utunzi hadi kurekodiwa kwa kibao hiki na hata majaribio ya kutengeneza video yake, lakini katika kusoma uchambuzi wako ndo nimeanza kufikiri jinsi maneno ya wimbo huu yalivyo na falsafa kali. Ukianza kunyumbua sentensi kwa sentensi na kuitafakari, unakutana na ukweli ambao utabaki kuwa ukweli daima. Na huo ndo utunzi wa hali ya juu kwa mtazamo wangu. Na kuna somo la wazi penzi la kweli halinunuliki wala halipatikani kwa kuhonga vitujfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.com