tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post1649837043700038886..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Ni kama hadithi ya KUKU na YAIMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-85928207012674586472008-12-27T08:12:00.000-05:002008-12-27T08:12:00.000-05:00Na pia mmwanamume anamchukua mdogo wa mke wake(she...Na pia mmwanamume anamchukua mdogo wa mke wake(shemeji yake) kazi kweli kweli!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-67423128322833281722008-12-27T02:59:00.000-05:002008-12-27T02:59:00.000-05:00Ok, ok., mwalimu anafundisha nidhamu na madhara ya...Ok, ok., mwalimu anafundisha nidhamu na madhara ya mapenzi katika umri mdogo kisha ye mwenyewe anatongoza vitoto vya shule. Ok, ok.,daktarh wa mapafu ndo anapuliza fegi usipime. Ayaah,!usishangae mtu anachezea Simba huku ye ni Yanga damu.<BR/>Mtu anajenga bonge la mradi eneo la wazi, utamwambia nini? Mmh, we wacha tu kaka...mpiga kampeni mkubwa wa kutonyanyasa na kuajiri watoto wadogo nyumbani kwake ana beki tatu (house girl) na shambaboy anda eitini.<BR/>Halafu, mmiliki wa kiwanda cha juisi ye anakunywa juisi za Sauzi. Hivi ni kweli? Mmhu, yah, sijui nini tena!<BR/>Ni hayo tu!Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com