tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post1667211485935336052..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": ELIMU...Labda ni UJINGA BINAFSI unaoendekeza UBINAFSIMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-66019614555486997222011-02-10T06:53:18.729-05:002011-02-10T06:53:18.729-05:00Mhhh, kuna jamaa alisema kuwa `kama ukiwa mdadisi ...Mhhh, kuna jamaa alisema kuwa `kama ukiwa mdadisi sana kwa kila kitu mwisho wake `utakosa yote'
Kuna kisa kimoja jamaa waliambiwa kuwa ili wafaulu katika matatizo yao inabidi watafute ngombe...
'Mmoja akaluliza ngombe huyu mweupe au mweusi' akajibiwa mweupe.
'Mzee au ...'
Akaibiwa asiwe mzee au wakawaida, awe wa kati na kati na kati...
Maswali yakaendelea kiasi kwamba, huyo waliyekuja kuambiwa baadaye ikawa vigumu kumpata...
Ina maana walivyoambiwa ng'ombe, wangelichukua ngombe yoyote atakayetokea karibu yao angekubalika! Lakini wakajiongezea uzito wao wenyewe kwa kuwa wadadisi!
Je udadisi huu ndio elimu? Na je walikuwa na makosa?
Elimu sasa ina-udadisi mwingi...ukiangalai somo la sayansi kwa mfano, limegawanyika katika nyanja mbalimbali...biolojia, kemia fiskia, na humo ndani katika kila nyanja kuna vipengele...najiuliza KWANINI...NDIO KWASABABU KICHWA CHA BINADAMU KIMEJAA UDADISI, NA mara nyingi udadisi huu unafikia hata `kutaka kumjua MUNGU YUKOJE? kwanini alituumba hivi isiwe hivi...tunajichubua, tunafanya mengi ya ajabu...HAYA YOTE NI ELIMU?
Mhhh, elimu ni kujua `kitu kipya' na hicho kitu kiwe na manufaa kwako na wengine. Na kuyajua mzingira yako na jinsi ya kupambana nayo, kiurahisi ...au na muendelezo wake....lakini kama elimu hiyo itakuwa ya `kuharibu' mmmmh, nina mashaka nayo...utauliza huyu aliyetengeneza bomu la nyukilia alikua hana `elimu'...anayo, lakini sio nia yake `kuangamiza'...naona niishie hapa kwani nitakuwa `mdadisi'a mwisho wa siku nitashindwa ....emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-34249183578007985392011-02-10T05:16:23.107-05:002011-02-10T05:16:23.107-05:00Mmmmh!Mmmmh!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com