tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post1730261393324615420..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Them, I & Them.... TRUTH WILL REVEAL.....Nasio FontaineMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-14770245284035733272010-08-06T07:10:08.767-04:002010-08-06T07:10:08.767-04:00Kaka nashukuru kwa posti hii. Kwanza nalazimika ku...Kaka nashukuru kwa posti hii. Kwanza nalazimika kuutafuta wimbo huu wa kizalendo wenye kufunza/kuelimisha na pia kuburudisha japokuwa wapo wale wasiotaka hata kuzisikiliza kazi hizi na kuziona ni za kidunia yani zipo nje ya mpango wa Mungu(ajabu ya kweli) ambao sitaki kuwaita waangamiao kwa kukosa maarifa.<br /><br />Mimi nadhani, wale ambao walikuwa viongozi, tuwaulize wametufanyia nini ambacho wao, pamoja na sisi tunajivunia nacho, kabla ya kumpa/kuwapa nafasi nyingine. na sisi tujiulize kama tulikuwa chachu ya maendeleo au tulikuwa ni kikwazo.<br /><br />Hawa wapya, wanaotaka uongozi kwa mara ya kwanza, wana sababu. Lakini wananchi hatuna budi kuwauliza nini sababu ya wao kugombea na kwa nini hawakuamua kumsupport kiongozi aliyekuwepo kabla ili aendelee, au kwa lugha nyingine tuwaulize ni kwa nini wameamua "kuwapinga" wale viongozi waliokuwa wanazishikilia nafasi kwa sehemu ambazo haziko wazi.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.com