tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post2199985038179963482..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Nina-blog kujifunzaMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-40764528304706963862009-12-08T00:05:58.136-05:002009-12-08T00:05:58.136-05:00Kaka Mubelwa, nilisoma maoni ya kaka Kamala. Ni ma...Kaka Mubelwa, nilisoma maoni ya kaka Kamala. Ni maoni yanayofikirisha sana. Ni maoni yenye nguvu. Ameeleza ukweli mtupu. Na ndivyo ilivyo.<br />Natamani kuiona jamii yenye kutetea kweli na haki pasipo kujali madaraka wala uwezo kimamlaka. Lakini kwanini binadamu hubadilika na kuziasi imani zao na itikadi za 'kabla'<br />Kaka Kamala umesema yote.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com