tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post2283326558942236704..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Blogu kama "shule msumeno"Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-85288201528699904902010-02-20T13:00:44.468-05:002010-02-20T13:00:44.468-05:00Pengine nikopi na kupesti mawazo ya wengine. Lakin...Pengine nikopi na kupesti mawazo ya wengine. Lakini naweza kusema kwa lugha yenye wepesi, kwamba, kublog kwangu kumenisaidia kupata ufahamu wa mambo mengi. Kublog kunaamsha udadisi kwa kiasi kikubwa. Hata unapokusudia kuandika post yako, wachekecha kichwa, wachimba, wafungua vitabu, wazuru wavuti kadha wa kadha ili kupost kitu chenye kuleta changamoto. Kisha waja watu na michango yao. Mingine yakuongezea maarifa. Mingine yakurudisha kuchimba tena.<br />Haya yanafanya kublog kuwe na manufaa makubwa sana kwa mwandishi na msomaji.<br />Huwa nasema, kublog ni jambo nilifurahialo sana. Kwani, humu, najifunza mengi sana.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-91937630440960460102010-02-20T10:38:19.471-05:002010-02-20T10:38:19.471-05:00una mkono wangu unaokuunga! blog zina sisimmua fik...una mkono wangu unaokuunga! blog zina sisimmua fikra ina tufanya tufikiri zaidi nje ya mipaka ya akili zetu. naunga mkono umahiri wako katika uchokozi wa kihoja na malimbuko ya changamoto zako ndugu yangu Mubelwa. Sisi tuanoblogu tusiache tuendelee tuendelee kuinua juu mawazo tuendeleee tusiache UDUMU UMOJA!Sisuluhttps://www.blogger.com/profile/17519890246968676787noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-77899514125029870952010-02-19T23:13:14.572-05:002010-02-19T23:13:14.572-05:00Ni kweli kaka Blog ni kama shule kabisa, kwani nim...Ni kweli kaka Blog ni kama shule kabisa, kwani nimejifunza engi san kupiia blogKoero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.com