tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post231147409217958164..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": HAPPY BIRTHDAY DADMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-85469805796987313282009-01-06T07:59:00.000-05:002009-01-06T07:59:00.000-05:00Nimeipenda hii. Wazazi ni sehemu yetu. Wana nafasi...Nimeipenda hii.

Wazazi ni sehemu yetu. Wana nafasi kubwa ya kutufanya tuwe kitu chochote. Inapotokea kuwa mwanao kawa kitu chema, bila shaka kuna kazi kubwa waliifanya.

Heri ya kuzaliwa baba! Alituletea 'kiumbe' wa muhimu sana.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-76901932738174133572009-01-05T09:44:00.000-05:002009-01-05T09:44:00.000-05:00Kushukuru ni bomba la kitu!Wengine hujisahau kwa k...Kushukuru ni bomba la kitu!Wengine hujisahau kwa kuwa tushaota mbawa na kuruka:-(

Heri ya siku ya kuzaliwa Baba ya Mzee wa CHANGAMOTO!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-2851614568043480532009-01-05T05:21:00.000-05:002009-01-05T05:21:00.000-05:00Dah! Asante sana Mtanzaga. Naamini kwa shairi hili...Dah! Asante sana Mtanzaga. Naamini kwa shairi hili ataweza kuona msisitizo wa umuhimu wa kile atendacho kwa wanawe.
Nami naamini nitakuwa hivyo kwa wana wangu.
BlessingsMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-4839818373079188852009-01-05T00:22:00.000-05:002009-01-05T00:22:00.000-05:00Ninakutakia heri, ya siku ya kuzaliwa,Wewe u zawad...Ninakutakia heri, ya siku ya kuzaliwa,
Wewe u zawadi nzuri, duniani nimepewa,
Najisikia fahari, 'menilea nimekuwa,
Heri yako baba.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com