tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post2318637039166110157..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Ni kweli kuwa twawaandaa vema wazazi watarajiwa?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-80998799604875136702009-03-17T05:42:00.000-04:002009-03-17T05:42:00.000-04:00Na ndio maana nikasema wazazi watarajiwa. Nikimaan...Na ndio maana nikasema wazazi watarajiwa. Nikimaanisha wote kinamama na kinababa waelezwe hali ilivyo, athari na hatari za kufanya wafanyacho na namna ya kuweza kuzuia matatizo kama yapo.<BR/> Asante Da YasintaMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-70720751962479810102009-03-17T03:12:00.000-04:002009-03-17T03:12:00.000-04:00Nakubaliana nawe kwa sisi waafrika kila jambo lina...Nakubaliana nawe kwa sisi waafrika kila jambo linapokwenda kama isivyotakiwa basi inakuwa/semekana ni ushirikina yaani amerogwa. Kwa hiyo ni kweli akina mama watarajiwa inabidi waandaliwe na pia ikibidi si akina mama tu hata akina baba watarajiwe inabidi wawekwe mstari wa mbele.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com