tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post2373544542241440641..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Them, I & Them......PROPHECY...LucianoMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-77443351361670647092010-04-23T14:04:53.058-04:002010-04-23T14:04:53.058-04:00Kwa namna walimwengu walivyo sasa,thamani ya binad...Kwa namna walimwengu walivyo sasa,thamani ya binadamu imekuwa ni ndogo mara nyiiiiingi ya 'pesa' na thamani ya pesa inavyozidi kupanda ndivyo thamani ya binadamu inavyozidi kushuka. Shaka ya kwanza naiweka kwenye Dini (zenye kumjua Mungu ajulikanaye kwa kuumba mbingu na nchi).Nina shaka sana na namna watu wapatavyo mafundisho. Haiwezekani kwenye nyumba za ibada watu waonyeshe unyenyekevu wa hali ya juu,upole,ukarimu,upendo,moyo wa kutoa,huruma na washindwe kuyafanya haya wanapochangamana uraiani!<br /><br /><br /><br />Leo hii dini zikiambiwa zitaje mafanikio zilizoyafikia, wataweza kuyataja kweli? Swali hili laonekana ni jepesi lkn ukweli ni ligumu! Hali ya sasa ya ulimwengu,kama alivyoeleza kaka Mubelwa,nadhani dini zatakiwa zione hali hizi kama changamoto kwao na ziweke mikakati thabiti ya kukabiliana nazo.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-84517231442476687062010-04-23T11:52:06.148-04:002010-04-23T11:52:06.148-04:00Ni ujumbe mzuri sana Ahsante. Ijumaa njema nawe pi...Ni ujumbe mzuri sana Ahsante. Ijumaa njema nawe pia na familia yako. UPENDO DAIMA!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com