tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post2479644596197197733..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Toka kisogoni mwa Lucky Dube....Aliwaza(ga) nini???Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-90317431546970148072010-04-18T07:26:49.337-04:002010-04-18T07:26:49.337-04:00peace and love!!!!peace and love!!!!o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-74122173561629331862010-04-18T05:13:37.656-04:002010-04-18T05:13:37.656-04:00siku ya leo itaisha vizuri itakuwa jumapili njema ...siku ya leo itaisha vizuri itakuwa jumapili njema kabisa. Ahsante sana kaka Mube. Na Apumzike kwa amani Luck Dube wetu. Amina. Na pia Napenda kuwatakia jumapili njema wewe na familia yako. na wengine woteeeeee-Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-11370486110227302862010-04-18T03:52:36.962-04:002010-04-18T03:52:36.962-04:00Apumzike kwa amani Lucky Dube! Mimi nina tabia ya ...Apumzike kwa amani Lucky Dube! Mimi nina tabia ya kuangalia na ku-enjoy sana tabia au hulka za watu, huwa nafurahia sana kuona watu tulivyo, wengine wagumu sana, wengine wanaona mbali sana, wengine wabunifu sana, au wasemaji sana. Kila mara nikikutana na mtu tofauti huwa nasema Mungu anapoleta mtu duniani huwa hakuleti peke yako bali hukukabidhi na spirit itakayokuongoza maishani mwako, na ndiyo kwa hiyo vipaji au tabia zako hutokea.

Lucky Dube alikabidhiwa spirit ya KUONA MBALI.

RIP Lucky Dube.Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-447029239576535252010-04-18T01:20:40.211-04:002010-04-18T01:20:40.211-04:00Kaka Mubelwa leo sijui nikushukuruje? Unapomzungum...Kaka Mubelwa leo sijui nikushukuruje? Unapomzungumzia Lucky Dube unanikumbusha mbali sana. Napenda sana staili yake ya uandishi wa nyimbo. Unapomaliza kuusikiliza wimbo wake unashiba.
Nilinunua kaseti ya kwanza ya Lucky Dube nipo form One 'Live in Concert' baada ya hapo nikahakikisha ninazo albamu zote hadi Respect.
Shule nilikuwa na daftari la nyimbo..karibia lyrics zote za Dube na wengine. Fikira nimetunza daftari toka form one hadi six nikiliupdate mara kwa mara.
Sijui alikuwa anawaza nini? Lakini chochote alichokiwaza Philip, ameacha urithi mkubwa sana katika historia ya muziki wa reggae.
Fikira katika 'Gun And Roses' anaposema,
'how can five years of power,
Destroy a lifetime of togetherness'

Lucky Dube alikuwa zaidi ya mwanamuziki, zaidi ya mwanafalsafa.

Apumzike kwa amani.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-13183414001518917492010-04-18T00:40:33.533-04:002010-04-18T00:40:33.533-04:00Kwa kweli kaka kwa leo hii waliwaza nini, you made...Kwa kweli kaka kwa leo hii waliwaza nini, you made my day, kama unakumbuka kuwa niko kwenye mchakato wa kutunga kitabu kama nilivyokutumia ule muswada, naamini hii waliwaza nini ya leo itasaidai katika ule mchakato wangu......LOL

lakini hata hivyo kuna wimbo mmoja ambao huwa naupenda sana uitwao "Reap what you saw"

Wimbo huu huwa unaifikirisha kila niwaonapo vibaka wakichomwa moto,

Nakumbuka kuna kibaka mmoja aliwahi kuchomwa moto maeneo ya Ubungo lakini wakati baba wa kibaka huyo alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari alikanusha katakata kuwa mwanae hakuwa kibaka bali ameonewa, ingawa watu wengi walioulizwa na mtangazaji huyo walithibitisha kuwa kijana yule alikuwa ni kibaka maarufu na ambaye alikuwa akiwapa shida pale mtaani, na hapo ndipo ninapokumbuka mashairi ya wimbo huo....
Nitanukuu.....

"Coming back home
With stolen things
Instead of telling him
How wrong he was
You told him how clever he was
People coming out of burning houses
It's your son Driving stolen cars every time
It's your son,
But you said nothing
But now he's turning against you"

JE, LUCKY DUBE ALIWAZA NINI?Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.com