tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post2972524704384957503..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": RAMADHANI NJEMA NDUGU ZETUMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-73990123067338550842010-08-11T10:25:48.452-04:002010-08-11T10:25:48.452-04:00Kila la khei kwa mfungo huu wa ramadhani.Kila la khei kwa mfungo huu wa ramadhani.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-46451827287785950822010-08-11T01:30:50.387-04:002010-08-11T01:30:50.387-04:00HERI NA BARAKA KATIKA MFUNGO HUU. Natumai lengo ma...HERI NA BARAKA KATIKA MFUNGO HUU. Natumai lengo ma madhumuni ya nguzo hii itatekelezwa ipasavyo, kwani hata gari linahitaji `kila muda linapumzishwa kwa matengenezo' na kwa imani ya Kiislamu, mwezi wa Ramadhani ni kipindi cha matengenezo ya mwili. Kuna faida zake nyingi za kufunga kama kuondoa takataka zisizofaa, kufanya mpangilio mzuri mwilini, kuijua njaa ni nini ili ukimuona mwenye njaa iwe rahisi kwako kumsaidia, kuongeza imani, kujenga upendo, na kubwa lao kumtii mwenyezimungu.emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.com