tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post2993263995511179263..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Kilichomliza Waziri Mkuu ni kipi? Na waliomliza wanafanya nini?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-69213397840549897562009-02-19T16:22:00.000-05:002009-02-19T16:22:00.000-05:00Mulangira. Hata mimi hizo picha zimenisikitisha sa...Mulangira. Hata mimi hizo picha zimenisikitisha saaaana! Watanzania tunaelekea wapi lakini? Ni nini kilichotufikisha hapa? Ni umasikini, ujinga, wendawazimi - ni nini? Watu wanaofanya unyama kama huu wakikamatwa wanapewa adhabu gani? Je, mbali na kulia, serikali imefanya nini? Waziri wa mambo ya ndani (naamini misukosuko yake ya kupigania vitambulisho vya taifa) sasa imeshaisha, anayaonaje mambo haya? Huu ni wakati ambapo wananchi wenyewe inabidi waamke na kusema sasa yatosha. Nilisoma Sengerema na picha hizi zimenishtua na kunisikitisha sana. Binadamu - kwa jina la kisayansi eti HOMO SAPIENS!!!Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.com