tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post3004724493338601603..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Mhe Rais, kabla hatujazungumzia katiba mpya, tufafanulie hili...Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-87157418751551030932011-01-04T19:29:26.893-05:002011-01-04T19:29:26.893-05:00Katiba yetu ina mapungufu mengi ambayo kwa sasa ay...Katiba yetu ina mapungufu mengi ambayo kwa sasa ayaendani na hali halisi ya mazingira,kuna mtu anaweza nipa sababu mbili za kuwa na wakuu wa wilaya na mikoa na hapo hapo kuna RDD sijui bado wanahitwa hivyo na wako wa wilaya pia.kuna shule ngapi zinahitaji vitabu na madarasa safi,hiyo high life ya mkuu wa wilaya na mkoa wangepewa wananchi sio mtu mmoja,kuna mikoa 26 sasa na wilaya tele tukiweza kuchukua hizo shangingi na nyumba zao tukawekeza ktk afya na elimu sisi tutakuwa wpi?tunaishia kusema nchi maskini kumbe wachache wanashiba pembeni na ndio maswaiba wa................Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-73150802670964045032011-01-04T17:03:50.435-05:002011-01-04T17:03:50.435-05:00Kuna tofauti ya kuwa Rais wa Tanzania na Rais wa W...Kuna tofauti ya kuwa Rais wa Tanzania na Rais wa Watanzania. Unaweza kuwa Rais kwa mujibu wa sheria na usiweze kuwa Rais mioyoni mwa unaodhani unawaongoza.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-27268403170395522092011-01-03T13:47:20.630-05:002011-01-03T13:47:20.630-05:00Hii changamoto kweli kweli. Je anao ubavu wa kufaf...Hii changamoto kweli kweli. Je anao ubavu wa kufafanua hii changamoto au tumemwonea mtu mwenyewe?<br />Tufurahi japo tusibweteke kuwa amejifunga akidhani hii itaishia kuwa kama safari ya Kanani ambayo imegeuka kuwa ya mafisadi na mafisidunia.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-86412761716742144992011-01-03T04:35:24.703-05:002011-01-03T04:35:24.703-05:00duhu wabadili viongozi\
kali hiyoduhu wabadili viongozi\<br />kali hiyokamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-51776883149799634112011-01-03T03:27:36.620-05:002011-01-03T03:27:36.620-05:00Mhh, kweli hilo swali nalo...wasemaje mhe wa nchi....Mhh, kweli hilo swali nalo...wasemaje mhe wa nchi...mmh, Mzee Mbele, kweli hata huo wimbo unahitai marekebisho, hebu niuuimbe kwanza.emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-3051507044841579022011-01-01T12:00:36.989-05:002011-01-01T12:00:36.989-05:00Shukrani kwa changamoto yako. Napenda tu kugusia k...Shukrani kwa changamoto yako. Napenda tu kugusia kuwa kule kwenye ukumbi wa Facebook m-Swahili mwenzetu mmoja alipendekeza kuwa wimbo wetu wa Taifa tuubadili. Badala ya kusema "Mungu Ibariki Tanzania, wabariki viongozi wake," iwe "Mungu Ibadili Tanzania, wabadili viongozi wake..."<br /><br />Lilikuwa ni pendekezo. Nami napendekeza tutenge kafungu, tuunde tume kuangalia pendekezo hili :-)Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.com