tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post3300414032603076755..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Wewe si wewe pekee....ni KILA MMOJA ndani yako.Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-12072843897943011492011-04-19T15:32:06.333-04:002011-04-19T15:32:06.333-04:00Ameen kwa WOTE.
Kaka Phiri, ulilosema ni sahihi, i...Ameen kwa WOTE.
Kaka Phiri, ulilosema ni sahihi, ila ujue kuwa HAKUNA ANAYEWAZA HAYO BILA ATHARI ZA JAMII. Kwa hiyo bado tunarejea palepale kwamba mambo ya URITHI na mengine huanzishwa na wale waliokukuza. Wanaokufanya uamini katika mali za "kupeana" na ambao wanaamini kwamba unastahili kuwa na sababu ya kujifariji kwa kila baya linalokukuta.
Unaamini kwamba hakuna walio katika hali kama ya hao lakini wakafanya kinyume nao?
BADO SUALA LA URITHI NI SUALA LA KUFUNZWA NA KUFUNZANA.
Ina maana ni suala la ATHARI ZA WENGINE.
Nawaza kwa sauti tuuuu!!!Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-43285009489801972192011-04-19T03:12:04.680-04:002011-04-19T03:12:04.680-04:00nimeupenda mchango wa manyaya
ila sasa inabidi tu...nimeupenda mchango wa manyaya

ila sasa inabidi tuangalie vizuri angalizo la manyanya juu ya visingizio.

lakini mada labda ina ukweli. kuna vitu ambavyo huwa sipendi kuvifanya lakini nalazimika kutokana na kuzungukwa na wengine

kwa mfano, huwa sipendi kuvaa nguo mwili mzima, natamani kuwa huru, kuwa uchi unakuwa huru

huwa sipendi kuhudhuria chooni kwa kufungu mlango, kiuhalisia huwa napenda mlango huwe wazi, nihudhurie huku nikipata kaupepo na haraufu iishe haraka, kwa kuwa nimezungukwa na watu, basi najikuta mtumwa!kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-55619346769690039152011-04-19T01:59:44.523-04:002011-04-19T01:59:44.523-04:00Haya mambo ni mboga na chumvi yake. Mboga bila ch...Haya mambo ni mboga na chumvi yake. Mboga bila chumvi kwa wengi hainogi. Lakini ukiongeza chumvi nyingi zaidi watu hawatakula kabisa! BALANCE IS THE KEY!

Kwa namna ingine, mada ni nzuri sana; lakini ipo hatari kidogo. Tusije tukafumba mikono nakudai "Mimi sitaweza kufanya lolote kubadili hali yangu kwani nilichonacho ni urithi tu".

Mawazo ya "urith tu" ndio yanaleta maringo kwa wale "waliorithi" mazuri, na utumwa kiakili kwa wale "waliorithi" ujinga na ufukara. Tena hio ndio sehemu kubwa katika fikra za ukoloni mamboleo ndani ya kichwa cha Mwafrika kama tunavyoongea hivi: tunamlaumu Mzungu kwa ukoloni wake karne iliopita hata kwa uharibifu tunaosababisha sisi wenyewe karne hii... TUMERITHI!!

Mtu anadai "Mimi sikusoma kwasababu nilifiwa na wazazi au mama wakambo alikuwa natabia ya kunisonya ndipo nikaacha kabisa shule". Mbona wako wengi sana waliekuwa na wazazi tena wenye nia na uwezo nao hawakusoma hivyohivyo?

Ukweli ni kwamba: mazingira mengine nje ya "urithi" kutoka kwa binadamu wenzako labda ndio muhimu zaidi. Mmfano maji unaotumia, aina ya udongo, chakula chako ETC vinaweza kusababisha wewe upoteze au uimarishe "urithi" wako huo kutoka kwa "waliokutangulia".Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-80599639195994435032011-04-17T00:56:01.987-04:002011-04-17T00:56:01.987-04:00Ni kweli kabisa. Maisha tuliyo nayo kwa kujua ama ...Ni kweli kabisa. Maisha tuliyo nayo kwa kujua ama kutojua, ni matokeo ya wale watuzungukao. Hili halipingiki. Ndio maana (kama ulivyotangulia kusema) watu wa jamii fulani wanaweza kuwa na mfanao wa tabia.

Watu hupenda kujionesha kuwa wana misimamo kama ishara ya kuweza kujitegemea kimaamuzi, kujiamini n.k. Wengi hujua kuwa hali hizi ni wao wenyewe wamejijengea, lakini ukweli ni kuwa, mazingira, hususani watu ndio hutulazimisha kuwa katika hali kama hii ili kuendeleza uwepo au kumudu mazingira husika. Wengi wetu hudhani namna tulivyo ni matokeo tu ya maamuzi yetu lakini sivyo, watuzungukao wana mchangango mkubwa sana wa namna tulivyo.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.com