tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post334959996941047207..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": MIAKA 102, na bado anafanya kazi. Tena JAJIMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-20503475004534658102010-03-10T10:05:12.580-05:002010-03-10T10:05:12.580-05:00Tukumbuke pia kazi inaweza kuwa KILEVI chenye ADDI...Tukumbuke pia kazi inaweza kuwa KILEVI chenye ADDICTION ZAKE kwa mtu.

Nimeshuhudia watu ambao wakistaafu pamoja na kuwa na kipato cha kutosha maisha yanawashinda kabisa wanakuwa hawajui la kufanya kabisa kwa kuwa miaka yao yote tokea asubuhi mpaka jioni yalichukuliwa na kazi zao.

Hawa watu wanaweza kung'ang'ania kazi kwa sababu hiyo tu.

Na kuna watu nimeshuhudia wamevunja mpaka ndoa zao kisa wameanza kukaa muda mrefu nyumbani ndio kutambua hata hawajui MZAZI MWENZA kama walivyokuwa wanafikiri kwa kuwa KI KWELi walikuwa wanakutananaye baada ya kazi tu na sasa kuishi naye kila siku siku nzima WANASTUKIA inasumbua.:-(

Kumbuka kuna watu hawana HOBI na ukiwaondoa katika kazi zao hawajui chakufanya.:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-42749315027440485182010-03-09T20:45:59.474-05:002010-03-09T20:45:59.474-05:00Mimi huu utaratibu wa maprofesa TZ kustaafishwa wa...Mimi huu utaratibu wa maprofesa TZ kustaafishwa wakiwa bado wananguvu kabisa za kufanya kazi hauniingii kabisa akilini, haswa kwa nchi yenye maprofesa wachache kama TZ.

Huo utaratibu wa mikataba bora basi ungekuwa wazi. Hauna kanuni yeyote. Nahisi unazingatia zaidi hisia za watu katika kuamua nani aendelee na mkataba nani asiendele

Nakumbuka nilifundishwa hesabu na profesa MASENGE nikiwa UDSM, wakati huo alikuwa amestaafu na anafundisha kwa mkataba. Ukweli alikuwa anaonekana ana nguvu kuliko walimu wengi tu kwenye kitengo cha hesabu. Hapo sijasema uwezo wake wa kufundisha. UKWELI KABISA SIKUWAHI KUFUNDISWA NA MWALIMU YEYOTE HESABU KAMA PROF MASENGE ALIVYOKUWA ANAFANYA. Na hili lilijidhihirisha kwenye matokeo ya mwisho wa muhula. kati ya wanafunzi 25 darasani kwangu 20 walipata A na waliobaki B+.

Nasikitika sisi ndio tulikuwa wa mwisho kufundishwa naye kwa sehemu ya mlimani. Ila nilifarijika kusikia alikuwa anafundisha OPEN.

Mimi sidhani kama unahitaji kuwa kiongozi kutoka taifa lililoendelea kujua kuwa kuna fani watu wanaweza kufanya kazi kwa muda mrefu labda wao wenyewe waombe kustaafu au afya zao kutoruhusu kuendeleaGodwin Habib Meghjihttps://www.blogger.com/profile/09439848817559875872noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-55377163090426704462010-03-09T09:13:51.702-05:002010-03-09T09:13:51.702-05:00Pale Mlimani maprofesa wanastaafu mapema kwa mujib...Pale Mlimani maprofesa wanastaafu mapema kwa mujibu wa sheria halafu wanaendelea kufundisha kwa mikataba mpaka wanazeeka sana. Utaratibu huu huwa unanichanganya.Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-49392802679146180262010-03-09T05:38:59.929-05:002010-03-09T05:38:59.929-05:00Mh! Hukumu ni kazi ya Muumba jamani, lakini kwa um...Mh! Hukumu ni kazi ya Muumba jamani, lakini kwa umri huu, inabidi amrudie Mola wake na kujitengenezea makazi ya kesho.

disminder.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-76125513927571356022010-03-09T02:11:22.901-05:002010-03-09T02:11:22.901-05:00mh, huyu anaishi muda wa ziada, akistaafu atakuwa ...mh, huyu anaishi muda wa ziada, akistaafu atakuwa kafa tayari. inabidi afe tu akahukumiwe na yeye kama anavyowahukumu wenginekamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-66506013815734084042010-03-09T00:03:35.904-05:002010-03-09T00:03:35.904-05:00True Kaka.
Si mwamuona mzee nanii mwenye muda mwin...True Kaka.
Si mwamuona mzee nanii mwenye muda mwingi "msinzioni" akiwa mjengoni?
Mie simoMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-42462515100127523662010-03-09T00:00:08.793-05:002010-03-09T00:00:08.793-05:00Bora huyo anaendelea na kazi yake ya kitaalamu. Ha...Bora huyo anaendelea na kazi yake ya kitaalamu. Hapa Bongo kazi hizo wanastaafu mapema lakini kazi ambayo hawapendi kustaafu ni siasa na hususani kama wanaingia mjengoni.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com