tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post3522170226910387917..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Nyakati hizi nyumbaniMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-12965546627341891312008-12-28T07:59:00.000-05:002008-12-28T07:59:00.000-05:00We acha tu. Lakini wewe si waweza wekewa kwenye Pr...We acha tu. Lakini wewe si waweza wekewa kwenye Precionair zikaja? Sie sasa mpaka aje mtu na sio leo ama kesho.
Twala kwa taswira tu Kaka BernardMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-46334857826510987712008-12-28T07:00:00.000-05:002008-12-28T07:00:00.000-05:00Kaka senene hao duuu!!!udenda wantoka yani dah, wa...Kaka senene hao duuu!!!
udenda wantoka yani dah, wankumbusha mbali sana na safari sijaenda likizo basi taabu kweli kweli, yaaani hapo namwona bibi Ma Buruke anantengea ktk kiibo na mbwembwe kibao yani dah.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/11578861525416106169noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-55226076089795575182008-12-23T05:10:00.000-05:002008-12-23T05:10:00.000-05:00Karibu tena Da Sophie. Hiyo picha niliipiga majira...Karibu tena Da Sophie. Hiyo picha niliipiga majira kama haya mwaka mmoja uliopita nilipokwenda kuwatembelea wazazi. Nilifurahishwa na mabadiliko kiasi niliyoyaona na naamini yatazidi kuwa bora zaidi nz zaidi hasa kwa manufaa ya wananchi. Kuhusu vyakula kwa hakika nimevikumbuka saana. Unajua ndizi yenye harufu ya "omwika na kashweko" yaani ni tofauti na hizi tufunikiazo ma-nylon huku ili ku-keep steam. Lakini kama wasemavyo kuwa "if you don't have what you like, like what you have" hivyo twalazimika kuweka "psychological tastes" ili kujihisi tuko nyumbani.
Karibu tena na asante kwa kazi nzuri jamvini mwako DadaMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-49734202348028242792008-12-23T02:08:00.000-05:002008-12-23T02:08:00.000-05:00Mzee wa Changamoto una mambo! umenikumbusha nyumba...Mzee wa Changamoto una mambo! umenikumbusha nyumbani hasa kwa hiyo picha ya senene na ndizi. harafu hiyo picha ya direction umeipata wapi?kwetu huko nimefurahi sana kuiona! asante sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-19675606488265736912008-12-22T20:52:00.000-05:002008-12-22T20:52:00.000-05:00Kumbe hawa jamaa wanaitamani Tanzania eee? Nimemsi...Kumbe hawa jamaa wanaitamani Tanzania eee? Nimemsikia huyo kwenye wimbo akijiuliza kama asili yake ni Tanzania. Wimbo bomba saaana huuu. Nimeupenda.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-72252909626481860172008-12-22T09:22:00.000-05:002008-12-22T09:22:00.000-05:00kaluse anatamani sennene hii masai vp? teh teh teh...kaluse anatamani sennene hii masai vp? teh teh teh! umenikumbusha tulipo kuwa wadogo, msimu wa senene tulikamata, tulisimamisha masomo kwa ajili yao. tulikula kwa furaha, wachumba waliganuzana kama ishara la engagement. tuliwatunzia wenzetu walioko mbali. senene walifungwa kwenye kakamba fualani na kuwekwa juu ya eneo la kupikia ili wasioze wala kuliwa na panya.

hicho kibao cha bukoba, biharamulo na muleba, ukifuata cha muleba, unakutana na kilichoandikwa Izimbya, katerero. basi huwa kinachekesha watuuuu

umenikumbusha kulalila kwa enkoko, engemu pamoja nekicholi. very soon ntakwenda bukoba na kupiga picha nzuri na tamu zaidikamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-91491579273073564282008-12-22T06:51:00.000-05:002008-12-22T06:51:00.000-05:00Mzee wa changamota tabia mbaya sana kutamanisha wa...Mzee wa changamota tabia mbaya sana kutamanisha watu vyakula kama hivyo. Yaani mate yanandondoka ooohhh hapa nimetamani kweli kweli nyumbaniYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-25177366742064971462008-12-22T05:54:00.000-05:002008-12-22T05:54:00.000-05:00Duh!! haya mambo si mchezo maana kuna ndizi , maem...Duh!! haya mambo si mchezo maana kuna ndizi , maembe, mahindi, senene n.k hivi vyakula fresh kabisa toka shamba na utakuta vimelimwa bila mbolea wala madawa na mbegu zake ni za asiliBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-73148395068143273622008-12-22T05:23:00.000-05:002008-12-22T05:23:00.000-05:00Dah Kaluse. Pole kwa kutamani. Lakini naamini sehe...Dah Kaluse. Pole kwa kutamani. Lakini naamini sehemu zote wana vyakula vizuri na vyavutia. Basi tu hatuweki kumbukumbu. Ila Kaka Mpangala huwa ananitamanisha saana na dagaa wake na mapochopocho ya Lundunyasa.Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-12319361908649004702008-12-21T23:49:00.000-05:002008-12-21T23:49:00.000-05:00DU! UMENITAMANISHA KWELI.MSOSI MZURI NA UNAVUTIA, ...DU! UMENITAMANISHA KWELI.
MSOSI MZURI NA UNAVUTIA, AMA KWELI WATU WA BK WANAFAIDI.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.com