tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post4331150833391359859..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Filamu ya maisha, upendo na uathirika wa UKIMWIMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-75604284096682182842010-02-09T09:38:32.807-05:002010-02-09T09:38:32.807-05:00Nime tazama na kufikiri mengi sn lkn mungu ni mkub...Nime tazama na kufikiri mengi sn lkn mungu ni mkubwa wayote na nina himani kunasiku dawa zita patikana na walio kuwepo kwenye mateso wata ponyeka. mungu mkubwaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-14876911003380483322009-02-17T05:34:00.000-05:002009-02-17T05:34:00.000-05:00Pengine nikushukuru wewe Da Subi kwa kuzisaka na k...Pengine nikushukuru wewe Da Subi kwa kuzisaka na kutuonesha. Nashukuru pia kuwa kuna wanaonieleza kuwa wameweza kuiangalia na HAPANA SHAKA kuwa wanajifunza kitu maana kama mtu ataiangalia hii na asiguswe basi atakuwa na mapungufu makubwa. Na uzuri ni kwamba haina taswira za kutisha lakini inafikisha ujumbe husika.<BR/> Shukrani kwako kwa mara ya tena DadaMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-16320934117214753082009-02-17T05:16:00.000-05:002009-02-17T05:16:00.000-05:00Shukrani Mube kwa kuweka filamu hii kwenye blogu y...Shukrani Mube kwa kuweka filamu hii kwenye blogu yako ili kuongeza uchaguzi kwa watu wenye nia ya kujifunza kutokana na video hizi. Kwa kweli ninatamani ingewezekana kushawishi vyombo vya habari kama vile Televisheni na Redio wakaweka filamu kama hizi ili kufikisha elimu hii kwa watazamaji wengi.<BR/>Shukrani za pekee zifikie Maweni Farm kwa kutengeneza filamu hizi na kwa wahusika wote waliodiriki kuwa vielelezo kwa simulizi za maisha yao.<BR/>Ninafurahia mawazo chanya ya namna hii.<BR/>Mube, kazi njema jirani!Subi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.com