tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post4382068426784021724..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Kizazi...Nini kipimo chake? Wakati, Mazingira ama Nyenzo?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-52481401353554048652011-02-24T14:02:04.189-05:002011-02-24T14:02:04.189-05:00Mandhari nzuri sana uliyechagua, Mkuu, pia na kuni...Mandhari nzuri sana uliyechagua, Mkuu, pia na kunikaribisha naamini ninavyopiga hodi kwenye blogu yako. Leo ndio mara ya kwanza nimeingia "The Way You See The Problem..."

Ni ukweli kabisa kwamba karni hii bado wapo binadamu wenzetu wanaoishi "katika" karni mbili au tatu zilizopita ukizingatia suala la nyenzo.

Pamoja na ile hali yao kama ile ya watu wazamani, hatuwezi lakini 'kuwafukuza' kwa kudai eti wao siyo wa kizazi chetu.

Ingawaje hawana nyenzo kama yule mwanafunzi mwenye IPHONE, nao wanafaidi kwa namna moja au yingine kutokana na maendeleo ya ulimwengu wa kisasa kiteknolojia.

Mfano, mwaka huu wa 2011, yakitokea mafuriko katika sehemu yao, ndege au HELICOPTER labda yenye AUTOPILOT inaweza kupelekwa huko kwao kuwakomboa, kitu ambacho kisingewezekana enzi za mwaka 1711!

Nje ya tundu. Jana nilishangazwa na Mama-mtoto niliporudi kazini naye kuniambia mama (umri 70) tuliepanga nyumbani kwake hapa Atteridgeville Pretoria alikulia kwenye mazingira ya kutisha au kushangaza kiasi kwamba alianza kuona nyanya akiwa na umri wa miaka 40!

Mkate, kwa kuadimika, walikuwa hawali kabisa isipokuwa kwa siku ya CHRISTMAS (25 Dec) tu kila mwaka ikiwa sasa kama kitamu (A TREAT) naye anajigamba alikuwa kila CHRISTMAS hiyo mkate mzima (A WHOLE LOAF)anaubomoa nakuumaliza kabisa akiwa peke yake!

Huyo basi ndio kizazi chake mama-yangu-mzazi aliyekuwa kwenye umri huohuo wa 40 amekwisha choka na nyanya nyingi na kuwa mtumiaji wa TOMATO SAUCE badala ya nyanya kavu!

Kwa maoni yangu, "kizazi" maana yake ni wale watu waliokuwa kama mifano ya kuigwa kwa wakati huo, watu wanaojulikana kama TRENDSETTERS, ROLE MODELS ETC. (au watu wenye uwezo fulani ki wastani)Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-68276255714432722802011-02-23T14:00:04.176-05:002011-02-23T14:00:04.176-05:00kwangu mimi kizazi kitabaki kuwa kizazi,basi kuna ...kwangu mimi kizazi kitabaki kuwa kizazi,basi kuna mabadiliko ya maendeleo kati ya vizazi vya sasa na vyazamani kulingana na wakati!.

ngoja niishie hapa na nipo pamoja kuendelea kujifunza zaidi!.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-13967166263686068552011-02-23T05:48:17.407-05:002011-02-23T05:48:17.407-05:00Kwangu mimi kizazi ni mabadiliko yote, ya muda, ma...Kwangu mimi kizazi ni mabadiliko yote, ya muda, mazingira na watu wenyewe!
Kipimo chake ni kuwa muda fulani umeisha, miaka kadhaa, na wametoka kwa babu hadi mjukuu,au sio hicho ni kizazi.
Kizazi cha babu redio ilikuwa ndio kitu babu kubwa sasa mmmh, computa nk...mabadiliko ya mazingira na teke-linalokujia! Y
Ni hayo tu mkuu, naandika harakaharaka maana nipo kwenye computa ya mutu, bosi habanduki mezani kwangu!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.com