tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post4390684843942484362..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Remembering Robert Nesta MarleyMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-40503142735667775362010-02-06T14:14:00.190-05:002010-02-06T14:14:00.190-05:00I wish I was born before he died but big up to eve...I wish I was born before he died but big up to everyone who kept his work alive so children like us will get a chance to know him even a little bit. I think/believe this proves that what he said, quoting from the quote you quoted (lol!) "My music will go on forever. Maybe it's a fool say that, but when me know facts me can say facts. My music will go on forever."

Long live his music and "MISSION"Faith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-39896175298589659112010-02-06T10:49:21.262-05:002010-02-06T10:49:21.262-05:00Alikuwa "nabii"Alikuwa "nabii"Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-74317044387166543362010-02-06T10:00:18.416-05:002010-02-06T10:00:18.416-05:00Nyimbo za Bob ni darasa tosha sana kwa sisi wananc...Nyimbo za Bob ni darasa tosha sana kwa sisi wananchi na viongozi kwa ujumla.Mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii yaikumbayo dunia hususani barani Afrika, yalishaongelewa sana na Nguli huyu. Kinachosikitisha ni kuwa wengi wanasikiliza miziki yake kwa kuburudika tu,kinachosemwa hakiwahusu,hakuna tafakari ya kina na ujaribu wa kuhusisha asemacho na hali halisi ya mambo yaendavyo kisiasa,kiuchumi na kijamii. Wengi wanachukulia ni muziki tu! Kumbe tulitakiwa tuuone muziki wake kama kioo na dira itupayo uelekeo.Watu tungekuwa tunatafakari kwa makizi aliyoyasema Bob Marley,si shaka kuwa tungekuwa na jazba ya kweli ya kutaka maendeleo ya wote,tungekuwa na mshikamano wa kweli,tungewapata viongozi wazalendo,tungekuwa wenye uwezo wa kupaza sauti bila woga kusema yalio moyoni nk. Cha msingi hapa ni kuwa jamii iamke na itambue kuwa muziki kama zilivyo namna nyingine za uelimishaji(dini, vitabuni nk.)upewe nafasi na pia, watu wautafakari kwa kina na kisha kutumia maudhui yale sehemu husika na kwa maendeleo chanya.Tutambue ya kuwa muziki(isiyokuwa ya upotoshaji) ni chachu ya maendeleo kisiasa,kiuchumi na kijamii.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-39777080711768967912010-02-06T09:11:44.518-05:002010-02-06T09:11:44.518-05:00Happy Birthday Bob marley.
Love this legend.
Al...Happy Birthday Bob marley.

Love this legend.
All morning I have been playing his music.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-88094785790587442882010-02-06T04:50:36.172-05:002010-02-06T04:50:36.172-05:00Nahusudu sana kazi za huyu jamaa ingawa natofautia...Nahusudu sana kazi za huyu jamaa ingawa natofautiana naye kwenye Imani ya Urasta!

Na tukiachana na filosofi zake, mpaka katika lugha ya Kiingereza alinisaidia sana kukuza misamiati yangu kwa maana nilikuwa na mpaka daftari za nyimbo zake enzi hizo najulikana kama Ras Kit.

R.I.P Nesta!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com