tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post4573749384043250181..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Kuna wewe wangapi ndani ya wewe?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-71416005377944056602009-12-18T10:56:26.727-05:002009-12-18T10:56:26.727-05:00Hii inaonekana kama ni ile falsafa ya mlevi niliyo...Hii inaonekana kama ni ile falsafa ya mlevi niliyowahi kuigusia hapa.

http://matondo.blogspot.com/2009/01/falsafa-ya-mlevi-1_30.html

Binadamu ni kiumbe tata. Vipi sasa tukianza kuongelea roho, hisia na mengineyo (cf. Kamala?).Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-7663599860800390982009-12-17T19:03:28.809-05:002009-12-17T19:03:28.809-05:001. Huyu wa kwanza huyu anaweza kukufanya uwe na ma...1. Huyu wa kwanza huyu anaweza kukufanya uwe na maadui kibao maana kila mtu likifika swali au jambo wataanza kunong'ona. Ndio kina sie tunanyamaza sometimes lol

2. Huyu anatokea mara nyingi tu, halafu sana inaweza kutokea pale mtu mwingine kajibu kitu then some of us go "I wanted to say that!"

3. Huyu ni mpenzi wa walimu kule praimari (primary school), maana mwalimu anajua kama hujui ila basi tu akuaibishe mbele ya watu. This one is not my favourite.

4. Huyu hehe, unaweza kurushiwa keki (pie) usoni maana unaweza kujibu/kusema utumbo kabisa.

Ni hayo tu :-)Faith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-14108836389477104452009-12-17T09:15:43.102-05:002009-12-17T09:15:43.102-05:00Ni kwewli Kamala kuwa nimeongelea upande huo mmoja...Ni kwewli Kamala kuwa nimeongelea upande huo mmoja. Najaribu kutochanganya zote kwa pamoja na sijawa na ufahamu wa kutosha katika pande nyingine.
Labda ukimaliza "asali-mwezi" (honeymoon) yako tutajadili hizo pande nyingine kwa upana zaidiMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-59668836493863718832009-12-17T01:02:14.859-05:002009-12-17T01:02:14.859-05:00na labda umeongelea upande wa mwili wa akili (mind...na labda umeongelea upande wa mwili wa akili (mind). kuna pia sisi Miili, sisi Roho, sisi Hisia na mwili wa akiili (mind)

lakini pia binadamu ni kiumbe wa ajabu sana katika minajili ya sisi kama uwepo/nguvukamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-49337789988968167692009-12-16T23:59:13.107-05:002009-12-16T23:59:13.107-05:00Sawa mzee,hii ni changamoto ya sisi kujitambua ki ...Sawa mzee,hii ni changamoto ya sisi kujitambua ki ukweli!!Halil Mnzavahttps://www.blogger.com/profile/13484877026620062055noreply@blogger.com