tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post4650010070654294000..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Nionavyo u-CHANYA wa HASI yaoMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-10831411106310564882010-04-09T12:35:30.026-04:002010-04-09T12:35:30.026-04:00-ngali- na -ngeli- ni miongoni mwa maneno ambayo h...-ngali- na -ngeli- ni miongoni mwa maneno ambayo hudhihirisha mtu aliyeshindwa kuzitawala nguvu za U-chanya na U-hasi wa jambo na ni kweli kuwa wengi wetu hatumudu kuzitawala nguvu hizi.

Wapo wanaokufa kwa kujinyonga,kwa shinikizo la damu,wanaokosa raha n.k kwa sababu tu ya kushindwa kuzitawala nguvu hizi. Lakini pia kuzitawala nguvu hizi nakiri kuwa ni kazi ngumu kwani zina ushirika mkubwa sana na hali za maisha tulizonazo wanadamu.
Yupo mama mmoja aliyemuua mwanae kwa kuwa alichukua "mhogo" aliokuwa ameuhifadhi kwa ajili ya mlo. Yupo baba aliyemuua mtoto wake kwa kuwa alitengewa "ugali wa maziwa" badala ya "ugali na nyama" kwani wakati anaondoka aliwaachia vipande vichache ambavyo hata watoto havikuwatosha. Naamini wote hawa baadae walikuja kujuta na kugundua u-hasi wa maamuzi yao.

Yawezekana kupunguza kutawaliwa na nguvu hasi kwa kujijengea hali za utulivu ktk kuyakabili mambo na kikubwa zaidi kujijengea uvumilivu na kuhitaji msaada wa ushauri inapobidi japokuwa yote haya kwa upande mwingine yanaweza pia kuleta matokeo ambayo yanahusishwa na nguvu hasi.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-61387841010736162362010-04-09T03:43:24.126-04:002010-04-09T03:43:24.126-04:00hasi ni muhimu kwa chanya na chanya piahasi ni muhimu kwa chanya na chanya piakamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-86971578761844556232010-04-08T12:41:48.100-04:002010-04-08T12:41:48.100-04:00Ni kweli kabisa Kaka.
Nina hakika kuwa wale walioa...Ni kweli kabisa Kaka.
Nina hakika kuwa wale walioachwa na Mv Bukoba walililia pesa zao mpaka kulipokucha wakasikia kilichoikuta meli hiyo.
Hapo kuna ambao ninawafahamu ambao WALIENDA KUTOA SADAKA KANISANI wakiuona "ukuu wa Mungu" (u-chanya wa kukosa meli siku hiyo).
Ingetokea vipi kama isingezama?
Na je wangefika mwanza wangekuwa salama?
Pengine waliepushiwa ajali ya barabarani ndani ya Mwanza, ama kuporwa ama kujeruhiwa ama baya jingine.
Lakini nina hakika SADAKA ile waliyoitoa wasingeifikiria kama mambo yangeenda sawa.
Na ndio maana kama nilivyoanza kwenye bandiko langu, "Bado naendelea kuamini kuwa suala la UBAYA na UZURI wa kitu ni tafsiri itokanayo na uhusianishaji wa kilichotendeka sasa na mfululizo wa kilichotokea ama kitakachotokea"Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-41279786991736335252010-04-07T23:29:20.255-04:002010-04-07T23:29:20.255-04:00"Niliwahi kumsikia mfanyakazi mwenzangu akise..."Niliwahi kumsikia mfanyakazi mwenzangu akisema anatamani asingepewa ruhusa alipoomba (akidanganya) kwenda kumpokea mwanawe ilhali alikuwa anaenda kwa mpenziwe na kisha akafumaniwa."
Oh boy!

Kama tungekuwa tunauona u-chanya ndani mwa u-hasi katika maisha yetu tungeishi maisha ya furaha sana na yenye ridhiko tele. Tusingeweza kusononeka na kukaa tukilalamikalalamika hata kwa vitu vidogo visivyo na msingi.

Unajua, kuna watu waliokosa nafasi katika M.V. Bukoba kwa sababu ilikuwa imejaza abiria pomoni katika bandari ya Bukoba. Badala ya kuuona u-chanya katika tukio lile na kusubiri meli nyingine, wao walikodi teksi na kukimbilia Kemondo kwenda kui-taimu upya. Kilichotokea tunakifahamu.

Inabidi umtafute huyo "trooper" aliyekupa tiketi ya kwenda kasi umnunulie bia.Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.com