tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post4685781416744561469..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Bado nalia kuwa nilimlilia.Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-995080819099213402009-06-07T23:16:55.783-04:002009-06-07T23:16:55.783-04:00Apumzike pema.
Pole kwa uchungu na kilio cha kumko...Apumzike pema.
Pole kwa uchungu na kilio cha kumkosa mjomba'ko.
Inshaalah tuna imani ya kuonana kwa Manani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-85696731761913583792009-06-01T04:31:10.020-04:002009-06-01T04:31:10.020-04:00Pole sana kaka. Wanasema kama kulia ni faraja kwak...Pole sana kaka. Wanasema kama kulia ni faraja kwako, basi usijizuie kulia ujisikiapo kufanya hivyo.
Pole sana kaka, lakini hakika sote twaelekea huko.
Bwana alitoa, Bwana alitwaa, jina lake libarikiwe.
Twamuombea uncle apewe pumziko la amani milele.
Amen.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-72635548745605119882009-06-01T03:31:18.545-04:002009-06-01T03:31:18.545-04:00Mzee wa Changamoto pole sana tena sana. Nalia pamo...Mzee wa Changamoto pole sana tena sana. Nalia pamoja nawe kwani nakuelewa kabisa. Na nakushauri lia sana kwani kulia ni moja ya kutoa uchungu wako. Natumanini Mjomba wako yupo nawe kila siku amini. Astarehe kwa amani.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com