tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post4802380309566067530..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Tunawapenda, Hatuwathamini.....Kwa kuwa hatuwajuiMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-72531142495405849992013-02-25T23:07:03.054-05:002013-02-25T23:07:03.054-05:00Daaaah! Umerudisha nyuma kumbukumbu za kukuwa kwa...Daaaah! Umerudisha nyuma kumbukumbu za kukuwa kwangu. Ahsante sana mkuu.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-7246287319331569902011-11-28T04:15:01.611-05:002011-11-28T04:15:01.611-05:00Hello Anon.
Asante kwa mnarekebisho ndugu yangu. K...Hello Anon.
Asante kwa mnarekebisho ndugu yangu. Kama nilivyosema, hii post niliichukua KAMA ILIVYO kwenye ukurasa niliounukuu na iliandikwa na Ndugu niliyemnukuu.
Naenda kufuatilia hili na kisha nitarekebisha accordingly.
ASANTE SANAMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-4034979417396800622011-11-27T09:58:08.965-05:002011-11-27T09:58:08.965-05:00Labda niweke sawa tu Ahmed Jongo bado yu hai, Jong...Labda niweke sawa tu Ahmed Jongo bado yu hai, Jongo aliyetangulia mbele za haki ni Omar. Naomba urekebishe hilo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-24875631943260801212010-04-27T09:48:25.927-04:002010-04-27T09:48:25.927-04:00Umenifurahisha sana na kumbukumbu hii. Umenikumbus...Umenifurahisha sana na kumbukumbu hii. Umenikumbusha mbali sana hasa kipindi cha majira kikikukuta nyumbani unajua umechelewa shule yaani nimecheka kama vile tulikuwa pamoja. Umemsahanu Idi Rashid Mchatta, Stephen Lyimo na Karim Besta hawa wote sasa ni marehemu lakini walikuwa na sauti zao za kipekee. Lyimo alikuwa maarufu katika kipindi cha salam, akisoma kadi utapendaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-22436206825240710612010-04-19T11:54:25.428-04:002010-04-19T11:54:25.428-04:00Asante Mzee kwa kuboresha posti kwa kuiongezea pic...Asante Mzee kwa kuboresha posti kwa kuiongezea picha. Napotoa shukrani kwa niaba ya Fabby (yupo huko Uchina walikozuia google na blogger basi inanipasa ku-copy na ku-paste kumfahamisha yanayoenziwa maandiko yake, basi yeye anaishia tu kutoa shukrani kedekede kwa wote).
Hayo uliyozungumzia wewe na Chacha na wengine kuhusu kumbukumbu, mi nasikia hata kizunguzungu kujaribu kuongelea tena. Watu gani kila siku lazima kusukumana katika suala la kumbukumbu? utadhani siye wakimbizi katika nchi yetu ya kuzaliwa! kha!Subi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-85734421192020458432010-04-19T05:16:51.277-04:002010-04-19T05:16:51.277-04:00tatizo ama changamoto ni kuwa hatuna mifumo makini...tatizo ama changamoto ni kuwa hatuna mifumo makini ya kumbukumbu kabisa.

Hii kumbukumbu imenifurahisha kwa kweli.

Thanks weye na Da Subio'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-4451219243503850452010-04-19T02:03:15.962-04:002010-04-19T02:03:15.962-04:00Kaka Mubelwa umeifanya Jumatatu yangu kuanza kwa t...Kaka Mubelwa umeifanya Jumatatu yangu kuanza kwa tabasamu la bashasha kwa kumbukumbu hii ya watangazaji ambao nilivutiwa nao sana. Nikiwa mdogo, wakati huo nyumbani hakuna televisheni, nilipenda sana kusikiliza RTD. Nilivutiwa sana na watangazaji wale waliokuwa mahiri kweli kweli.

Ahsante sana.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com