tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post4845319858625065709..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Ni mchanganyiko wa MEMA NA "MABAYA" utuleteao yote.Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-23606522537079240882009-04-01T09:52:00.000-04:002009-04-01T09:52:00.000-04:00Niliwahi kuandka kuwa kwa nini tufikiri kuhusu tat...Niliwahi kuandka kuwa kwa nini tufikiri kuhusu tatizo? Nitanukuu...

"Maisha haya yangekuwepo bila matatizo ni wazi yangekinaisha haraka sana. Yangekinaisha kwa sababu yasingekuwa na maana yeyote. Maana na utamu wa maisha upo katika kupambana na mazingira na kupata ufumbuzi wa jambo. Kitendo cha kupata ufumbuzi wa jambo na kusonga mbele ni kitendo chenye kushika maana halisi ya maisha. Kitendo cha kupambana na kushindwa pia ndo maisha yenyewe. Kama ingekuwa kila anachotaka mtu anakipata maisha yangepoteza maana yake.Ina maana kwamba kila mmoja kati yetu ni mtaalamu wa matatizo kwa maana kwamba anafahamu kwa vitendo. Lakini kwa bahati mbaya siyo wote kati yetu ambao tunaweza au kujua namna ya kuyatatua matatizo yetu, lakini mbaya zaidi namna ya kufanya matatizo yasituharibie maisha yetu. Kwa kuwa matatizo ni sehemu muhimu katika maisha yetu ni wazi hatuwezi kuyakwepa. Kwa kuwa hatuwezi kuyakwepa inabidi tujue namna ya kuyakubali bila kutuumiza, ujuzi ambao wengi wetu hatunao"
mwisho wa kunukuu.
kama umesoma habari ya Yasinta pale kwenye kibaraza cha dada Koero utagundua kuwa mafanikio ya Yasinta hayakuja kwenye kisahani cha dhahabu, hapana, bali alijua namana boya ya kupambana na vikwazo bila kuvunjika moyo huku akizingatia malengo aliyojiwekea.

kam Mabint wote wanajiuza kw kisingizio cha ukosefu wa ajira na mitaji wangesoma habari ile ingewasaidia namna nzuri ya kufikiri na hatimaye wangebadilika na kujitafutian riziki kwa njia halali. kazi nzuri kaka Mubelwa.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-42329205143406423772009-03-31T23:56:00.000-04:002009-03-31T23:56:00.000-04:00Nimesoma na nimejifunza,Ahsante sana kwa kusherehe...Nimesoma na nimejifunza,
Ahsante sana kwa kushereheshaKoero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-13299046966385345842009-03-31T14:48:00.000-04:002009-03-31T14:48:00.000-04:00Hola Seniór...Kila mtu ana kiwango tofauti ya kuvu...Hola Seniór...

Kila mtu ana kiwango tofauti ya kuvumilia na akili zake za kutafuta atakavyoishi hapa duniani. Kila mtu ana simulizi lake... awe muuza njegere au daktari...tatizo ni kuwa binadamu hatosheki!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-31327228167624545712009-03-31T04:08:00.000-04:002009-03-31T04:08:00.000-04:00hakuna jambo zuri wala baya bali tafsiri yako tu. ...hakuna jambo zuri wala baya bali tafsiri yako tu. kkamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-55290747225127990272009-03-31T03:42:00.000-04:002009-03-31T03:42:00.000-04:00Ni kweli uvumilivu katika maisha ni muhimu sana. S...Ni kweli uvumilivu katika maisha ni muhimu sana. Sote tunajua mvumulivu hula mbivu. Na pia katika maisha lazima kuwa na msimamo, pia kujiamini lakini ukisha yumba tu tayari kila kitu kitakuwa ovyo.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com