tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post5126756695803676613..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Familia huishia wapi?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-26431739778292091732009-04-03T05:27:00.000-04:002009-04-03T05:27:00.000-04:00Familia inategemea sana na ukaribu.Uliozaliwa nao ...Familia inategemea sana na ukaribu.
Uliozaliwa nao umekua karibu nao kwa muda mrefu ndio ndio maana ufamilia unakuwa na nguvu kubwa.

Marafiki wanaweza kuishi pamoja kwa muda mrefu kiasi kwamba kila mmoja akahisi kuwa anaishi na ndugu wake wa kuzaliwa.

Shangazi na wajomba, hata babu na bibi unaweza kuwa wa familia yako kwani la msingi hapa ni ukaribu wako na ndugu hawa.
Hivi mtu akiishi na binamu yake kwa miaka mitatu mathalani, huyu si mwanafamilia?
Kwa hiyo mimi nadhani yeyote anaweza kuwa mwanafamilia ila ukaribu ndio jambo la msingi.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-82546200738499689562009-04-03T03:41:00.000-04:002009-04-03T03:41:00.000-04:00yasinta, wakati mwingine unahitajika ushahidi ili ...yasinta, wakati mwingine unahitajika ushahidi ili ujue kuwa kweli mlizaliwa tumbo moja au kutundikwa na uume mmoja. hili ni jambo la kiimani zaidi ya kisayansi bwana. nduguzo wote hunauhakika, bali uliambiwa na kuonyeshwa. hata babako huna uhakika ila unaamini kwa sababu ulijikuta ukimwita baba.

kwa hiyo basi, sisi sote tu wamoja na nifamilia moja yenye watu wa akili tofauti, rangi, tabia maumbo nk.

yaliyobaki ni anwani tu kuwa huyu ni dingi, maza, mume, dogo, nkkamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-56691450374376864942009-04-02T14:20:00.000-04:002009-04-02T14:20:00.000-04:00Familia inategemea kulingina na jinsi unavyoainish...Familia inategemea kulingina na jinsi unavyoainisha, kuna aina ya familia ambayo huhusisha baba, mama na watoto tu yaani nuclear family.

Aina ya pili ya familia ni hii inayoitwa extended family ambayo huhusisha wajomba, shangazi,babu, bibi, binamu nk

Siwezi sema ni aina ipi ni nzuri kuliko nyingine, faida na hasara zipo kwa kila aina ya familia, japokuwa kiwango cha faida na hasara hutegemea aina ya familia inayohusika.malkioryhttps://www.blogger.com/profile/05134160827358623563noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-39784326023825541532009-04-02T04:47:00.000-04:002009-04-02T04:47:00.000-04:00Kwa mimi familia ni wale tu niliozaliwa tumbo moja...Kwa mimi familia ni wale tu niliozaliwa tumbo moja. yaani kaka, dada nk. Baba na mama sio familia yangu.Ni mawazo yangu!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-82584493760539469052009-04-02T03:12:00.000-04:002009-04-02T03:12:00.000-04:00ukiendekeza familia utaishia kwenye migongano na m...ukiendekeza familia utaishia kwenye migongano na misuguano isiyoisha na uje kuchukiana na ndugu bure.

labda sisi sote ni familia moja japo unajiamba kuwa na familia pahala. mbele ya maumbile sisi tu wamoja na hivyo tu familia moja ndugu.

Aminakamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.com