tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post5490394363264285960..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": WALIWAZA NINI?????? Kweli kila mtu na "ngekewa" yakeMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-67979520020966953272011-06-12T22:34:10.557-04:002011-06-12T22:34:10.557-04:00Niliisoma habari hii na kufuatilia maoni ya wadau ...Niliisoma habari hii na kufuatilia maoni ya wadau kule Huffington post. Inasemekana ulabu pia ulichangia. Ukikamata mavodka kule juu halafu mtu akakuudhi mambo yaweza charuka...Huyu ndiye binadamu a.k.a Homo Sapiens!Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-12086386755755338082011-06-10T11:03:05.365-04:002011-06-10T11:03:05.365-04:00Nadhani wangewekwa mlangoni ili kila anayetoka kwe...Nadhani wangewekwa mlangoni ili kila anayetoka kwenye ndege "awagonge makwenzi mawili".

Hiyo hapo imenivunja mbavu. Ila mi sikuifikiria saaana; nilijua ni taratibu tu za kiusalama ili kuepuka risks zozote. Ila ndio hivyo, wale jamaa hawajafanywa chochote.

Hii stand up comedy inafanana sana na huu mkasa (no pun intended re: proanity):

http://youtu.be/ksbBMMd3oqASNhttps://www.blogger.com/profile/09052751960069005719noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-3751811353948111162011-06-08T08:17:34.346-04:002011-06-08T08:17:34.346-04:00Nina mashaka huenda hao watu walikuwa ni waafrica ...Nina mashaka huenda hao watu walikuwa ni waafrica wezentu japo sina hakika na hilo,ila ninachotaka kusema ni kwamba huenda huyo mlaza kiti akawa na haki japokuwa alitakiwa pia kutumia busara (please) kwani unaweza ukawa na haki lakini usijue jinsi ya kuidai na kuonekana huna maana..na hicho ndicho kilichotokea hapo wote wakawa mafahari na kuamua kuzipanga ngumi.....
Kwakweli naungana na mzee wa changamoto hawa jamaa waistahili kufunguliwa mashitaka ya kufanya vurugu kwenye halaiki na pia usumbufu waliosababisha ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo...Raymond Mkandawilehttps://www.blogger.com/profile/06670714599127978853noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-69538766210630393892011-06-07T08:47:53.136-04:002011-06-07T08:47:53.136-04:00Unajua mkuu,`kila jambo halitokei hivihivi tu, hut...Unajua mkuu,`kila jambo halitokei hivihivi tu, hutokea ili iwe sababu, huenda hatuijui,...AU WENYEWE WANAJUA, Au hakuna anayejua ila mwenye mamlaka na roho zetu na sisi wenyewe anajua....!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-57641791997083312642011-06-06T05:08:52.264-04:002011-06-06T05:08:52.264-04:00Kaka Fadhy.. We staajabu tu kama mimi. Labda kuna ...Kaka Fadhy.. We staajabu tu kama mimi. Labda kuna atakayekuja na jibu kwetu.
Kaka Phiri. Mashitaka yangeweza kuwepo (kwa mtazamo wangu).
Siamini kama kilichowafanya warudishe dege ni kulaza kiti, ama kuzuia, bali VURUGU zilizotokea baada ya jaribio la kulaza na kuzuia. Kuwasababisha watu kulala mpaka kesho yake kwa sababu ya vurugu walizofanya ni usumbufu tosha. Kulazimisha ndege za kivita "kuizingira" mpaka itue, ni usumbufu tosha. Kuisababisha ndege kutua na mafuta kiasi hicho ambacho hakipendezwi na watengenezaji, ni usumbufu tosha.
Kuwa na haki haimaanishi kuwa hautashitakiwa usipoitumia vema. Nina haki ya kuongea, lakini naweza kushitakiwa ikiwa nitaongea uongo, matusi ama kashfa.
Kwa hiyo bado naamini WALISTAHILI MASHITAKAMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-16229631363013026402011-06-05T14:49:06.107-04:002011-06-05T14:49:06.107-04:00Mashtaka yangekuwa ya nini? Kama mimi nimelaza ki...Mashtaka yangekuwa ya nini? Kama mimi nimelaza kiti changu si haki yangu?

Au kama mimi namkemea aliekaaa mbele yangu kwa kulaza kiti chake na kunimwagia chai yangu, mashtaka hata hapo yawe ya nini?

Wendeshamashtaka nao ni waangalifu kutoanzisha kesi ambao hakimu ataitupilia mbali tena kwa kejeli, ndio maana yote hapo, Mkuu!Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-38743310963724615772011-06-05T11:09:27.385-04:002011-06-05T11:09:27.385-04:00duuh....nimeishia kustaajabia kabisa...nini makwen...duuh....nimeishia kustaajabia kabisa...nini makwenzi? Ningalikuwapo pahala hapo walahi ningaliwakata ngwara za nguvuFadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com