tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post561742367045577005..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Ni mwaka mmoja wa Changamoto yetu. ASANTE KWAKOMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger18125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-11160899990562642112013-08-25T23:41:09.603-04:002013-08-25T23:41:09.603-04:00Siku zinakwenda kwa kasi kweli. Hatimaye ni miaka ...Siku zinakwenda kwa kasi kweli. Hatimaye ni miaka mitano. Ninayerejee maoni yangu ya miaka minne nyuma. Naomba uzipokee pongezi zangu za dhati.

Unafanya kazi nzuri sana. Ninajivunia kufahamiana nawe kwa kupitia kublog.

Salamu zangu kwa familia nao wote wakuzungukao.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-84136834370362708332009-09-03T10:35:52.775-04:002009-09-03T10:35:52.775-04:00Hongera sana!Hongera sana!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-63219398066034503732009-08-31T17:55:42.588-04:002009-08-31T17:55:42.588-04:00Wewe ni kiboko na Hongera sana kwa jinsi ulivyo cr...Wewe ni kiboko na Hongera sana kwa jinsi ulivyo creative.

Keep it upLazarus Mbilinyihttps://www.blogger.com/profile/08364878664766568284noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-77961587425026731502009-08-28T07:14:50.036-04:002009-08-28T07:14:50.036-04:00Kublog si kazi ndogo hata kidogo..nakutakia kila j...Kublog si kazi ndogo hata kidogo..nakutakia kila jema katika kuendeleza libeneke la kublog..

kila jema

Tutafika tuEDWIN NDAKI (EDO)https://www.blogger.com/profile/03807483223004414776noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-50400006882111226252009-08-26T20:23:50.288-04:002009-08-26T20:23:50.288-04:00Hongera Papaa Mubelwa!
Blogu kibonge hii we acha ...Hongera Papaa Mubelwa!

Blogu kibonge hii we acha tu!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-17357215908854374942009-08-26T09:36:20.195-04:002009-08-26T09:36:20.195-04:00Kaka Mubelwa Bandio,
ebwana ndio.
Nakupongeza kw...Kaka Mubelwa Bandio,
ebwana ndio.

Nakupongeza kwa blog yako kutimiza mwaka mmoja.
Kwa kweli ktk baraza hili nimekuwa nikijifunza mengi sana kuanzia ya kisiasa, kijamii na hata ya kiuchumi.
Nimwambie kaka Mubelwa kuwa kwa hivi sasa mimi ni mpenzi sana wa miziki ya Rege.Huwa nazipitia song lyrics na huwa navutiwa sana na yanayozungumzwa kwani yanailenga jamii kwa kuelezea matatizo,furaha na nini kifanyike ili kuinasua jamii ktk matatizo.Kwa ujumla kaka anatuonyesha nafasi ya Music ktk jamii kwani mbali na rege pia hutumia aina nyingine za miziki ktk kuielimisha na kuiburudisha jamii.

Umakini wake ktk kuandaa posts na pia umakini ktk utoaji wa maoni ni kati ya vitu ambavyo vyanilazimisha kusema kuwa kaka huyu ni lulu sana, tena sana ktk ulimwengu huu wa blog.

Posti hii ni "CHANGAMOTO YETU" sote kwani inatufundisha na kutuambia wanablog wote kuwa twatakiwa kuwa wabunifu,wenye nia ktk utendaji wa mambo(ndio maana post hii imekuwa na mvuto wa kipekee kabisa.) bila kusahau umuhimu wa wale wote watuzungukao.Hakika post hii imenifurahisha kupita maelezo na amedhihirisha uwezo wake.

Kaka,
Ninakutakia kila la heri ktk maisha yako na nakukaribisha kwa moyo mmoja ktk awamu hii ya pili ya kuielimisha jamii.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-67084265246431881582009-08-25T19:41:27.523-04:002009-08-25T19:41:27.523-04:00Mzee wa changamoto nimeikubali hii post. NAWEZA KU...Mzee wa changamoto nimeikubali hii post. NAWEZA KUSEMA NI KIPAJI CHA HALI YA JUU. nimeisoma mara mbili mbili, NIMEPENDA ULIVYOCHEZA NA LUGHA. kuanzia leo sipo kwenye kundi linalosema kuwa lugha ya kiswahili haijitoshelezi. Ina misamihati ya kutosha. MIMI INGEWEZA KUNICHUKUA ZAIDI YA MWAKA NA NISIWEZE KUTOKA NA KAMA POST YAKO.
hongera kwa kufikisha mwaka mmoja. Naamini tutaendelea kusoma na kujifunza mengi mbeleni toka kibarazani. HONGERA SANA MKUUGodwin Habib Meghjihttps://www.blogger.com/profile/09439848817559875872noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-68803751055005654792009-08-25T16:14:01.105-04:002009-08-25T16:14:01.105-04:00Kwetu UHAYANI kuna msemo usemao "usijishukuru...Kwetu UHAYANI kuna msemo usemao "usijishukuru kama mwendawazimu"
Na mimi niliweka POST hii kuwashukuru wadau ninyi kwa kuwa nanyi kila iitwayo leo. Tumetembeleana kimawazo na kuelimishana saaana pia kujenga umoja wa kuielimisha jamii yetu. Ninyi kunipongeza mimi naamini si sahihi. Pongezi zije kwenu nyote. Kuna wanaonifanya niendelee kuandika kwani hata nibanawapo na vi-shughuli vya maisha napata email kuulizwa "mbona kimya?" Hivyo najua wapo walio na muda hata wa kunijulia hali nikipotea. Kuna wale ambao wamekuwa ma-fundi mitambo wa blog hii. Yaani kila uchao najifunza toka kwao, nawauliza hili na lile na hata "kudesa" (kama asemavyo Da'Mdogo Koero) busara na hekima zao kila uchao.
Wapo ambao kwa CHANGAMOTO ZAO naweza kujua zaidi kuhusu kazi na maisha na naweza kusema hiki kiwekwacho hapa ni MCHANGANYIKO (COMBO)ya takribani kila mmoja wenu (sijui kama itaonekana ni wizi wa style na mawazo na mitindo) na wenye kuhitaji shukrani ni ninyi.
Lakini LILILO KUBWA ni kuwahakikishia kuwa UMOJA UNAOJENGWA BAINA YETU ndio hasa NGUVU ya KUIKOMBOA JAMII YETU na tukiimarisha blogu zetu tutaweza kusonga mpaka kwenye kuweka maandishi yetu kwenye mifumo mingine itakayowafikia wanaoihitaji zaidi. Hatuwezi sasa lakini haimaanishi tusifanye lolote. Wenyewe wanasema DON'T DO NOTHING BECAUSE YOU CANT DO EVERYTHING.
Ni wakati wetu kuanza na HABA NA HABA na panapo majaaliwa na TUKIIMARISHA NA KUKUZA UMOJA WETU basi TUTAJAZA KIBABA
BlessingsssssssMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-44727884063846086262009-08-25T15:38:02.587-04:002009-08-25T15:38:02.587-04:00Mzee wa Changamoto,
Hongera sana kwa blogu yako ku...Mzee wa Changamoto,
Hongera sana kwa blogu yako kufikisha mwaka mmoja. Kwa mabloga wengi, tatizo si kuanzisha blogu, bali ni kuhakikisha kuwa kuna habari mipya zenye kuvutia wasomaji.Umefanikiwa katika muda mfupi kuwa na blogu yenye mvuto.
Nimekuwa nikifuatilia uchambuzi na maoni yako kuhusu mada mbai mbali, napenda kusema nimefurahishwa na kina cha uchambuzi wako.
Keep it up.
Mdau
FaustineFaustinehttps://www.blogger.com/profile/17253666093262801440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-45169324973258059902009-08-25T12:38:09.861-04:002009-08-25T12:38:09.861-04:00Mzee wa Changamoto,
Kwa jinsi ambavyo nimekuwa nik...Mzee wa Changamoto,
Kwa jinsi ambavyo nimekuwa nikichota ujuzi na maarifa hapa bila kusahau burudani kabambe za miziki ya kifalsafa,nashindwa kuamini kwamba umekuwepo hewani katika mwaka mmoja tu uliopita.Naona kama umekuwepo kwa muda mrefu zaidi.

Hoja zako,busara zako na jinsi ambavyo umeruhusu blog yako kuwa sio tu kitambulisho chako pekee bali kitambulisho cha kile unachokiamini na kukisimamia,ni miongoni mwa sababu ambazo zinatufanya sote tupende kusoma na hata kuchangia unachokiandika.

Waraka huu wa kutimiza mwaka ni mfano wa ninachokiongelea.Umeperuzi na kuweka,kwa umaridadi,viungo vya blogs mbalimbali.Nimeipenda sana hii.

Nakutakia kazi njema.Tafadhali endelea kublog.BChttp://bongocelebrity.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-70506067233646913342009-08-25T11:18:32.282-04:002009-08-25T11:18:32.282-04:001. Hongera sana sana sana yaani sana, kijiji chako...1. Hongera sana sana sana yaani sana, kijiji chako kutimiza mwaka mmoja...angekuwa mtoto tayari anatembea lol.

2. I think ni my favourite post katika zote ulizowahi kuweka maana ni talent ya kipekee kuweka majina ya blogs mbali mbali na ikaleta maana (I cnt do that).

3. Bado kijiji kinazidi kukua sio...na sie ambao ndio kwanza tunacheua, bado tupo na wewe sambamba lol.

Bless ya bro!! xxFaith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-429659021811573042009-08-25T10:57:11.405-04:002009-08-25T10:57:11.405-04:00Hongera Mubelwa kwa kutimiza mwaka mmoja wa ku-blo...Hongera Mubelwa kwa kutimiza mwaka mmoja wa ku-blogu, kazi nzuri na iendelee.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-3195357751219241832009-08-25T08:27:46.679-04:002009-08-25T08:27:46.679-04:00Vipaji Tanzania vipo sana ila tu hatuvijali. Hebu ...Vipaji Tanzania vipo sana ila tu hatuvijali. Hebu kaa ujaribu kuandika post kama hii uone kama utaweza (mimi siwezi).

Hongera Mulangira. Wewe ni mchambuzi makini na mada unazoshughulika nazo katika blogu hii ni zile za muhimu zinazoigusa jamii moja kwa moja. Endelea kuielimisha jamii. Polepole tu tutafika!Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-62721151824888415312009-08-25T05:31:23.748-04:002009-08-25T05:31:23.748-04:00nilijua umerudia ile ya mwaka mpya. knimezoma kumb...nilijua umerudia ile ya mwaka mpya. knimezoma kumbe hazifanani hata kidogo.
kweli tena ni nzuriAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-75924650972513256652009-08-25T04:42:24.306-04:002009-08-25T04:42:24.306-04:00pamoja na mwaka huo, post hii imetulia. ni ya kush...pamoja na mwaka huo, post hii imetulia. ni ya kushea kijiweni. ni mwaka mwingine wa kujibaini sisi wenyewe.

kweli tumejifunza mengi, tumefahamiana, nk

changamoto ni changamoto tu.

hakuna kulalakamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-16941695813469501202009-08-25T03:14:31.033-04:002009-08-25T03:14:31.033-04:00Kwnza kabisa napenda kusema HONGERA sana. Binasi n...Kwnza kabisa napenda kusema HONGERA sana. Binasi nilishatimiza mwaka mwei wa pili lakini siku hiyo nilikuwa mgonjwa. HONGERA Mubelwa. Pia nimefurahi sana kwa jinsi ulivyoiandika mada hii inavutia na inapendeza nakusifu kwa mpangilio huu kazi nzuri sana. Na ni kweli Binafsi nimejifunza mengi sana kupitia blog hii kuna viburudisho, yaliyopita na bila kusahau CHANGAMOTO. Ni kweli tunapaswa kujivuna. Uwe na wakati mzuri Mubelwa.TUPO PAMOJA DAIMA!!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-1229313832019630472009-08-25T00:01:59.599-04:002009-08-25T00:01:59.599-04:00Hongera sana kaka kwa kutimiza mwaka mmoja. Ni maf...Hongera sana kaka kwa kutimiza mwaka mmoja. Ni mafanikio makubwa sana. Miezi 12 yote umefanya kazi nzuri sana. Umetuelimisha, umetuburudisha, umetukumbusha na kutushirikisha.

Umetupa changamoto kubwa katika mambo mbalimbali ya maendeleo ya maisha ya mwanadamu. Hakika tunajivunia kuwa na wanablog kama wewe.

Ni wajibu wetu kupashana habari na kuelimishana kwa ajili ya ukombozi wa fikra zetu. Blog zetu zinafanya kazi kubwa kuliko chombo kingine cha habari. Tunayo nafasi ya kuwafikia watu wengi tukijivunia kuwa na habari zisizo haririwa kwa manufaa ya watu fulani.

Nirudie tena kukupongeza kwa mwaka mmoja kwenye harakati. Nitumie fursa hii kuwapongeza pia wanablog wote. Kazi zao ni za kujivunia.

Sambamba na hayo, nakupongeza kwa umaridadi wa maarifa ya kuandika post hii ya leo. Inavutia kuitazama, kuisoma na kuifikiria.

Nilikuahidi zawadi, nipo kiguu na njia kuelekea barazani kwangu kukuwekea.

Mungu akubariki sana wewe na familia yako, na wanablog wote.

Pamoja daima.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-91009022870483350622009-08-24T23:54:39.713-04:002009-08-24T23:54:39.713-04:00Hongera sana kaka kwa kutimiza mwaka mmoja. Ni maf...Hongera sana kaka kwa kutimiza mwaka mmoja. Ni mafanikio makubwa sana. Miezi 12 yote umefanya kazi nzuri sana. Umetuelimisha, umetuburudisha, umetukumbusha na kutushirikisha.

Umetupa changamoto kubwa katika mambo mbalimbali ya maendeleo ya maisha ya mwanadamu. Hakika tunajivunia kuwa na wanablog kama wewe.

Ni wajibu wetu kupashana habari na kuelimishana kwa ajili ya ukombozi wa fikra zetu. Blog zetu zinafanya kazi kubwa kuliko chombo kingine cha habari. Tunayo nafasi ya kuwafikia watu wengi tukijivunia kuwa na habari zisizo haririwa kwa manufaa ya watu fulani.

Nirudie tena kukupongeza kwa mwaka mmoja kwenye harakati. Nitumie fursa hii kuwapongeza pia wanablog wote. Kazi yao ni ya kujivunia.

Sambamba na hayo, nakupongeza kwa umaridadi wa maarifa ya kuandika post hii ya leo. Inavutia kuitazama, kuisoma na kuifikiria.

Nilikuahidi zawadi, nipo kiguu na njia kuelekea barazani kwangu kukuwekea.

Mungu akubariki sana wewe na familia yako, na wanablog wote.

Pamoja daima.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com