tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post5654707336298907956..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Enziiii. Tunapoteza nini tunapoongeza nini?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger13125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-31364034282682973542009-05-02T04:27:00.000-04:002009-05-02T04:27:00.000-04:00haka ka mdahalo kalinipita.
Nilikuwa najiuguza mal...haka ka mdahalo kalinipita.
Nilikuwa najiuguza malaria huko Arusha.....
Duh nimepitwa na mengi?
Nimekuona mzee kumbe ulikuwa handsome tangu utoto.....
ha ha haaaaaaaaaa.......Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-70687212840164634442009-04-30T04:31:00.000-04:002009-04-30T04:31:00.000-04:00haya maatondo, natafsiri kwa sharti moja kwamba na...haya maatondo, natafsiri kwa sharti moja kwamba na wewe utwambie nini maana ya majina yako matatu.

'naukomba mapensi ki-sichana, ukataa potelea mbali kisichana kwani wasichana ni wengi na wamejaa tele'.

hiyo ya ebigambo bingi bikatanga enkoko okwikukusa... maana yake ni, 'maneno mengi yalimfanya kuku asahau kuchamba'

yaani inapendeza sana kukumbukia nyumbani ehe? nilikuwa kijijini na wazee, nilifurahi kurudi home na kukipiga kikwetu sana.

blog ya kikwetu ipo njiani kuanzishwa, matondo utakuwa mtazamaji au mchangiaji?kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-88827179959506753572009-04-29T19:39:00.000-04:002009-04-29T19:39:00.000-04:00Unanikumbusha mbali sana enzi za primary sasa inap...Unanikumbusha mbali sana enzi za primary sasa inapopigwa picha ya pamoja lazima mtu utoe alama kama kunyosha kidole maana unaweza usijijue picha ikitoka na zile uniform basi inakuwa kazi kwelikweli.

Ila tutoto twa siku hizi twenyewe ndo fundi kupiga picha.

Ila hapo mzee ulitulia si utani, Hongera sanaLazarus Mbilinyihttps://www.blogger.com/profile/08364878664766568284noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-21098656739437587152009-04-29T17:52:00.000-04:002009-04-29T17:52:00.000-04:00Kamala, jamaa mmoja Mkurya - wakati ndiyo tu tumek...Kamala, jamaa mmoja Mkurya - wakati ndiyo tu tumekaramka tukiwa kidato cha pili alijaribu kum-convince mwisiki kwa maneno ya busara. Alianza kwa kumwambia kwamba yeye hana maneno mengi kwani "...ebigambo bingi bikatanga enkoko okwikukusa..." Basi mpaka leo bado naikumbuka hii methali. By the way, mwisiki alicheka tu na kwenda zake! Sijui alichemsha wapi! Tunasubiri tafsiri ya huo ubeti hapo juu.Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-12985518408356965382009-04-29T16:07:00.000-04:002009-04-29T16:07:00.000-04:00Mmh hapo kali ingawa sielewi kitu ila nafurahi san...Mmh hapo kali ingawa sielewi kitu ila nafurahi sana kuona watu wanaopenda/ongea lugha zao za asili HONGERA Kamala. Lakini kweli tafsiri ili tufaizi woteYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-5131734430431622742009-04-29T12:48:00.000-04:002009-04-29T12:48:00.000-04:00Hahahahaaaaaaaaaaaa. Duh!!! Hii kali. Kamala anamw...Hahahahaaaaaaaaaaaa. Duh!!! Hii kali. Kamala anamwaga "beti" za ki-poripori hapa. Raha saaana. Ila mnajua kuwa hata watumiaji halisi wa lugha za kiasili wanazidi kupungua? Yaani wengi ukiongea nao watasema kuwa wanaweza kuongea ama wanasikia lakini hawawezi kuandika. Tunapoteza kizaziMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-21090447011586339122009-04-29T12:36:00.000-04:002009-04-29T12:36:00.000-04:00Kamala, nimeshakwambia kwamba Kihaya changu kimesh...Kamala, nimeshakwambia kwamba Kihaya changu kimeshakufa. Hebu tutafsirie huo ubeti/msemo ili tufaudu...Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-14527787814972882172009-04-29T12:29:00.000-04:002009-04-29T12:29:00.000-04:00matondo!!! duhuuuuuuuuuuuu
ninkushaba engozi kais...matondo!!! duhuuuuuuuuuuuu

ninkushaba engozi kaisiki, kolayanga otwala kaisiki, abaisiki baijwile kaisiki.

hiyo ni sehemu ya mistari ya enzi hizo ya ku-convince kaisikikamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-15539997005157435782009-04-29T10:18:00.000-04:002009-04-29T10:18:00.000-04:00Umenifanya niitafute albamu yangu ya kumbukumbu. K...Umenifanya niitafute albamu yangu ya kumbukumbu. Kuna picha ambazo mtu hata ulibidi upeleke suruali uliyoipenda kwa fundi cherehani ili airekebishe vizuri ili uje utoke pyua kwenye picha. Zipo zingine nilipiga katika ofisi ya mkuu wa shule kule Kahororo Sekondari. Maandalizi yako wazi. Ni kweli dunia imebadilika - maisha haya ya ipod, iphone, nintendo wii na Blackberry kweli ni hatari. Sijui tunaelekea wapi? Hapa naungana kabisa na Kamala kwamba pengine mtu yule aliyeko kijijini mgombani ana maisha yenye ridhiko kuliko sisi ambao kwa kutojua kwetu tunadhani kwamba tumeuchinja kumbe tumechinjwa/tunajichinja!!!

Halafu Kamala - hicho Kihaya kimenitoa knockout kabisa. Aisee hata Kihaya changu kumbe kimeshapotea tayari wakati kipindi fulani nilikuwa na uwezo hata wa kum-convince mwisiki mpaka akakubali kuwa mkazi wange kwa kutumia Kihaya tu. Nimesikitika!Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-49916151793734485082009-04-29T06:36:00.000-04:002009-04-29T06:36:00.000-04:00Kaka hii safi. Haha ha ahaaa!Kaka hii safi. Haha ha ahaaa!Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-21774737550872435242009-04-29T06:15:00.000-04:002009-04-29T06:15:00.000-04:00Ni kweli Yasinta.Kwanza haka ka-kijana ndiko kanak...Ni kweli Yasinta.Kwanza haka ka-kijana ndiko kanakokujibu sasa hivi. Hizo ni enzi zake. Ilikuwa safi saana japo nilikuwa nikichukia maandalizi yake maana yalikuwa yakinikatisha michezo. Naamini ndio maana mara nyingi watu walikuwa wakipiga picha siku zao za ibada na wapiga picha walikuwa wakivizia watu wakitoka kwenye ibada kabla hawajachafuka wanapiga picha.
Ni kama asemavyo Kaka Kamala kuwa wakati mwingine (mara nyingi jumapili jioni) unaogeshwa na "kusilibwa" mafuta kisha mwaenda "center" ya kijiji kusubiri picha mlkiyokuwa mkiisubiria kwa juma zima.
Kuna mengi ya kukumbuka na kuenziMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-7755348635505626872009-04-29T03:26:00.000-04:002009-04-29T03:26:00.000-04:00maweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
wanyujikya harai mara b...maweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

wanyujikya harai mara bingi. kwijakutelwa epicha lazima mwoge, majwalege mwesig'amajuta, mwagya ambala bala, mya, myai, mwagilinda eilimansi lyona
olundi mbabalazimisha kusheka!!!

tehe tehekamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-16682134648679990052009-04-29T02:35:00.000-04:002009-04-29T02:35:00.000-04:00Hapo umesema Zamani kila kitu kilikuwa ni safi san...Hapo umesema Zamani kila kitu kilikuwa ni safi sana. Siku hizi kuna mambo mengi; ila maendeleo hayaonekana kabisa kwani sasa ni kweli watu tumeacha kutembeleana hapa na hapa tu unapiga simu badala ya kwenda. Nadhani hii pia inasababisha watu wengi kuingia katika lile kundi la kunenepa kupita kiasi. Picha za zamani ni nzuri sana nimekapenda kakijana haka. Kwani binafsi sina picha kama hiyo ya "Enziiii". Ahsante kwa mada hiiYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com