tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post5684991435535280626..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Them, I & Them.....CLOSE ONE YESTERDAY.....Buju BantonMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-9264994614706759602010-10-08T10:42:25.398-04:002010-10-08T10:42:25.398-04:00Hata mimi najiuliza haya maswali. Tabia ya kuhoji ...Hata mimi najiuliza haya maswali. Tabia ya kuhoji na kuchambua mambo inajengwa kwa muda mrefu.

Binafsi nitasikitika kupita kiasi kama Watanzania wataacha kufuatilia na kuuliza maswali ya msingi baada ya Uchaguzi kupita. Sidhani kama matatizo ya elimu nchini yatakoma baada ya kupiga kura; kwahiyo watakaokuja inabidi waendelee kupewa changamoto na kuhojiwa.

Kwa maneno mengine, tujifunze kuhoji vitu mpaka vieleweke!

Tusubiri... Na wakati huo huo, watakaoshindwa itabidi waanze kujipanga upya -- tokea siku ambayo Rais anaapishwa, na sio miezi sita kabla ya Uchaguzi 2015.SNhttps://www.blogger.com/profile/09052751960069005719noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-76187008852619368702010-10-08T09:39:21.987-04:002010-10-08T09:39:21.987-04:00MMMhh! ni jambo la kufikirisha na kufikiri... na n...MMMhh! ni jambo la kufikirisha na kufikiri... na ni changamoto kubwa sana Ahsante. Ijumaa njema nawe pia familia yako.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-73570317531483101162010-10-08T07:58:39.719-04:002010-10-08T07:58:39.719-04:00Ijumaa njema Mkuu na asante kwa hii changamoto !Na...Ijumaa njema Mkuu na asante kwa hii changamoto !Nakiri imenikuna kichwa!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com