tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post569523746495658601..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Matumizi mabaya ya pesa ni yapi?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-64478400057017916382009-03-31T21:41:00.000-04:002009-03-31T21:41:00.000-04:00Kila kondoo hula kulingana na urefu wa kamba yake!...Kila kondoo hula kulingana na urefu wa kamba yake!!!Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-74189620311518862102009-03-31T07:46:00.000-04:002009-03-31T07:46:00.000-04:00Tafakari nzuri Mube.Kwa maoni yangu, fedha yenyewe...Tafakari nzuri Mube.

Kwa maoni yangu, fedha yenyewe haina maana yoyote isipokuwa inaponisaidia kupata kuridhika. Fedha ipo kuniwezesha kupata ridhiko. Kuridhika huja kwa kujisikia kuwa umepata ulivyovihitaji.

Kama nitaitumia fedha kupata ridhiko hilo ninalolihitaji (confortability), hayo kwangu ni matumizi sahihi, hata kama naweza kuridhika kwa kuonekana nimezitumia 'hovyo'.

Na mizizi ya ridhiko imo katika ufahamu zaidi, ambao waweza kuathiriwa na mambo mengi, ikiwamo ongezeko la kipato.

Kwamba kadiri ninavyoruhusu akili kudai mahitaji mengi zaidi ili niridhike, ndivyo ninavyochochewa kuzitafuta fedha zaidi na zaidi.

Kwa hiyo kwa jinsi hiyo, mzunguko waweza kukosa ukomo kiasi cha kufikia 'kutafuta hela ili uwape wengine' nk.

Ikiwa nitatumia fedha kinyume na dai la akili yangu, hayo yatakuwa matumizi mabaya. Kwa mfano pesa ambazo ningeweza kumpa mtu bure (nikajisikia kuridhika), nikajikuta nikizitumia katika matumizi mengine yanayoonekana mazuri (ila nikajisikia kutokuridhika kwa kufanya hivyo), hayo ni matumizi mabaya.

Ubaya ama usahihi wa matumizi, haupo katika fedha zenyewe bali katika kichwa (belief) cha mtumiaji mwenyewe.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.com