tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post5954688063568138236..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Mmmmmhhh!!! Kama navutiwa "kuibiwa" vileeeee!!!Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-16324009864940547712011-08-31T02:57:28.263-04:002011-08-31T02:57:28.263-04:00Ingia tu kichwakichwa Mkuu kwa kuwa nasikia KISAIK...Ingia tu kichwakichwa Mkuu kwa kuwa nasikia KISAIKOLOJIA lujaribu ni DAWA!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-68148211606674307952011-08-30T11:19:13.104-04:002011-08-30T11:19:13.104-04:00MICHEZO ya bahati nasibu inazidi kuongezeka kila k...MICHEZO ya bahati nasibu inazidi kuongezeka kila kukicha huku waandaaji wa michezo hiyo wakizidi kunufaika huku wananchi wa kawaida wakizidi kutumia vipato vyao vya chini ya dola 1 kwa siku katika kushiriki michezo hiyo.

Inashangaza kuona kwamba hili limekuwa halichunguzwi kiundani na vyombo husika ambavyo vinahusika hasa bodi ya michezo ya kubahatisha, kwani michezo mingi ya bahati nasibu mshiriki anapaswa kuchangia kuanzia kiasi cha shilingi za kitanzania 500 hadi 1000, wakati huohuo Mtanzania wa kawaida anaishi kwa chini ya dola 1 sawa na shilingi 1300.

Vijana ndio wanaoathirika sana na tatizo hili ambapo wamekuwa wakicheza kila siku bila kupata bahati ya kushinda huku wakijipa matumaini kwamba ipo siku watashinda.

Sina maana mbaya katika kulisema hili lakini ninajaribu kuwasilisha uhusika wa vijana hao ambao wamekuwa wakishindwa kupata elimu inayowafaa ili kuweza kujua maana halisi ya michezo hiyo.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/00626584051542002466noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-13868060124702492632011-08-30T06:09:23.441-04:002011-08-30T06:09:23.441-04:00ni katika kukurubuni hili na wewe ujaribu kubahati...ni katika kukurubuni hili na wewe ujaribu kubahatika! ukweli ni kwamba ni rahisi zaidi kupigwa na radi kuliko kushinda bahati nasibu!!!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07722344478243372930noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-66091822230155181182011-08-30T05:41:50.908-04:002011-08-30T05:41:50.908-04:00Sasa hapo sijui ni nani mwenye BAHATI?Sasa hapo sijui ni nani mwenye BAHATI?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com