tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post5970606082177977989..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Hah!! Kwani msaada wa madeni watakiwa umfae nani?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-32125396292090508142009-02-17T05:27:00.000-05:002009-02-17T05:27:00.000-05:00Nadhani tatizo kubwa ni 'kutokujali'. Imefika hatu...Nadhani tatizo kubwa ni 'kutokujali'. Imefika hatua kuwa matatizo ya wananchi ni kama wimbo na si kitu cha kushangaza ama kuhuzunisha. Ni kama umekuwepo usugu fulani juu ya matatizo ya binadamu mwingine na 'umimi' umezidi sana. Waliobaki wenye imani na wenye kutenda kwa imani ni wachache sana, aghalabu, wengi wao wanamezwa na mabaradhuli wengi.<BR/>Lakini kelele zisikome, kwani nina hakika huwa wanapata japo mawili matatu yanayoandikwa katika blogu zetu sema hawathubutu kukiri hadharani.Subi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.com