tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post61098703204721068..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": CHANGAMOTO YETU SANAANIMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-82631064492193042512009-01-05T09:41:00.000-05:002009-01-05T09:41:00.000-05:00Kila siku huwa naombea kuwa mtazamo wa sanaa uliop...Kila siku huwa naombea kuwa mtazamo wa sanaa uliopo Tanzania sasa hivi uwe ni wa mpito tu!

SIpingi kuwepo kwa sanaa iliyobobea sasa hivi na itawalayo redio na TV, ila na wasiwasi tusipoangalia tutapoteza kabisa sanaa za asili.

Cha ajabu ni kwamba, nchi nyingi nilizopita mziki wa asili ndio muziki uheshimiwao. Na mpaka wafalme na wale waliofanikiwa kimaisha, kwao ni ujanja kujua muziki wa asili. Ukifuatilia kuanzia wafuatiliaji wa claasical music ulaya hata Marekani hukawii kustukia kuwa asilimia kubwa ndio wajanja wenyewe ambao maamuzi yao yakiwa mabaya dunia nzima inazinguka.

Tutafika tu lakini!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-21657377184913274312009-01-03T19:21:00.000-05:002009-01-03T19:21:00.000-05:00Wanastahili pongezi kwa kuuwakilisha utamaduni wet...Wanastahili pongezi kwa kuuwakilisha utamaduni wetu huko ughaibuni.Evarist Chahalihttps://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-40743638984684806792009-01-03T12:00:00.000-05:002009-01-03T12:00:00.000-05:00Mi huwa sijui wasanii wetu wanajisikiaje wanapowao...Mi huwa sijui wasanii wetu wanajisikiaje wanapowaona wasanii wengine wa Kiafrika wakitamba na sanaa zao. Tena lugha zao wala si kubwa kama Kiswahili.
Nawashauri wafikiri mara nyingi juu ya mustakabali wa sanaa yetu ya Kitanzania.
Ni hayo tu!Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-70338763995224313152009-01-03T07:12:00.000-05:002009-01-03T07:12:00.000-05:00Eeee changamoto kubwa hiyo! amani iwe nanyiEeee changamoto kubwa hiyo! amani iwe nanyiMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.com