tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post6379593012220076593..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Them, I & Them. LUCIANO: BanditsMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-78026840299257601132008-12-20T04:37:00.000-05:002008-12-20T04:37:00.000-05:00@Mzee wa Changamoto: Kwa jinsi ulivyojibu hoja , l...@Mzee wa Changamoto: Kwa jinsi ulivyojibu hoja , labda asiyeelewa ni profesa wakutoelewa.<BR/><BR/>Nazimia sana kazi za Luciano.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-22444104764415556512008-12-19T21:40:00.000-05:002008-12-19T21:40:00.000-05:00Hahahahaha. Safi sana Anon. Naona umetimiza nia ya...Hahahahaha. Safi sana Anon. Naona umetimiza nia ya kuwa na sehemu ya maoni. Yaani kusema kile udhaniacho ni sahihi. Na huo ni uhuru wa na haki yako. Lakini pia sehemu kubwa ya Blog hii ni KUELIMISHA, KUBURUDISHA na KUKUTOA KATIKA UTUMWA WA KIAKILI. Yaonekana umenasa kwenye utumwa udhaniao kuwa kila mtu ni balozi wa kabila lake. Si mimi. Ni kweli kuwa mimi ni mhaya halisi na najivunia hilo (maana hata Bob alisema "you can't run away fro yourself") na Bukoba ndiko kwetu (ambako Luciano alisema "i'm rooted and grounded") na kwa namna yoyote ile sitaweza kupakana. Lakini pia siwezi kuchukuliwa kama kielelezo cha tabia ya kabila zima. Na wala siwezi kumchukulia yeyote kama wakilisho la kabila lake pia. Ni njia ya kutugawa iliyopandikizwa vichwani mwa wavivu wa kufikiri ili kutugawa (kama Nasio alivyosema kuwa "these are ways and means to divide the people"). Kama hujatambua hilo unasikitisha. Kikubwa ni kuwa kila mtu ana kabila lakini hakuna balozi wa kabila. Kwa hiyo kusema "wahaya bwana mna mambo" ni fikra za kikabila (na ubaguzi pia) ambazo naamini hazistahili kuendelezwa maana ziliznzishwa na zinaendelezwa na wenye nia ya kutugawa kwa propaganda za kutujali na kutupenda. Sijui wawaza nini, lakini pengine Kaluse angekusaidia katika UTAMBUZI NA KUJITAMBUA ili Bwaya naye akusaidie uJIELEWE yale ambayo Kitururu atayaona MAWAZONI mwako katika MAISHA azungumziayo Da Yasinta.<BR/> Anyway; Hii ndio raha ya blog, kujua nani anawaza nini na kwa mtazamo gani. Maana sote twaweza kuona tatizo, japo namna uonavyo tatizo, ndilo laweza kuwa tatizo.<BR/> Karibu tenaMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-38152383130020849612008-12-19T10:40:00.000-05:002008-12-19T10:40:00.000-05:00hay sasa umekuwa rastafarian tena, mbona hupigi vi...hay sasa umekuwa rastafarian tena, mbona hupigi visu sasa,Wahaya bwana mna mambo kweli kweli.Anonymousnoreply@blogger.com