tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post6421041421214737238..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Bado natamani kuwa mwalimu. Ila shule iwe UN na wanafunzi ma-RaisiMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-86415799832753880872009-09-23T20:38:36.517-04:002009-09-23T20:38:36.517-04:00Mbona itakuwa vizuri...leo nimemuona Gaddafi...tal...Mbona itakuwa vizuri...leo nimemuona Gaddafi...talking nonsense maana I can't even quote anyway kaka sorry but please correct this "Kikao hiki kilianza rasmi Kumanne ya Sep 15."...samahani ila ndio hivyo...the word is a bit distracting...lolFaith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-84271535483006814452009-09-23T11:36:12.825-04:002009-09-23T11:36:12.825-04:00Hata utembeze viboko namna gani, hakitaeleweka kit...Hata utembeze viboko namna gani, hakitaeleweka kitu. Pengine hili litakuwa ndilo darasa ambalo litakuwa na wanafunzi watukutu, wakaidi, wabinafsi na wasiojali kuliko darasa jingine lolote hapa duniani kuanzia academy ya Plato enzi zile mpaka wakati huu.

UN imeshakuwa "irrelevant" kama "League of Nations" wakati ule iliposhindwa kumnyamazisha Adolf Hitler wakati akijiandaa kuanzisha vita vya pili vya dunia.

Tuko mwanzo mwanzo wa muhula na kazi zimepamba moto kwelikweli. Napita hapa kila ninapoweza ingawa pengine ni kwa mwendo wa kasi kiasi kwamba siachi nyayo zangu. Mambo yameanza kutulia na nyayo zangu utaziona tena mara kwa mara!Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-62955698283691057082009-09-23T06:16:36.143-04:002009-09-23T06:16:36.143-04:00Asanteni saaana WAUNGWANA.
Nakumbuka katika post y...Asanteni saaana WAUNGWANA.
Nakumbuka katika post ya awali akaka Kitururu alisema kinachomsikitisha ni kuwa NDANI YA UMOJA WA MATAIFA KUNA MATAIFA YASIYO NA UMOJA.
Na hii inashangaza saana kuona kuna jina na siasa zaidi ya maana na ulengwa.
Nimewanyaka Kaka zangu Kamala na Kissima.
TZFORCHANGE. Karibu saana Mkuu changamotoni. Hakuna shaka kuwa nitakusaka na naamini tutaweza ongea mengi mema ya "kuikomboa jamii" yetu.
Ni MABADILIKO TANZANIA tunayohitaji.
BlessingsMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-82352035177512601922009-09-23T03:28:59.076-04:002009-09-23T03:28:59.076-04:00Masikini ya Mungu,
yanayojiri huko UN tutayapata k...Masikini ya Mungu,
yanayojiri huko UN tutayapata kwenye magazeti, radio,blogs na kwenye telivisheni.Sina hakika kama mwakilishi wetu atatoa tathmini na manufaa ya kikao hicho kwetu sisi wadau aliotuwakilisha.

Tutasikia tena kupitia vyombo vya habari kuwa mkuu amerejea na siku inayofuata atakwenda tena Uganda.
Da! Twaambulia ratiba tu, madhumuni tutajiju.
Kama atapewa homework,sa sijui ataifanya kimya kimya, kwanza tutajuaje kapewa homework?
Kazi ipo.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-10749304061076733602009-09-23T01:19:45.845-04:002009-09-23T01:19:45.845-04:00i was looking for people like you i got you. call ...i was looking for people like you i got you. call me 240 264 7902Tumaini Geofrey Temuhttps://www.blogger.com/profile/04866523196844265045noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-40288618349594949342009-09-23T01:18:13.726-04:002009-09-23T01:18:13.726-04:00huwa sielei sana hizi politics bwana. ni ulimwengu...huwa sielei sana hizi politics bwana. ni ulimwengu tuuishio mbele ya wanaumoja wa mataifa. unamiliki siraha na kujaribu kuleta amani wakati wenyewe ungekuwa na amani usingekuwa na siraha. sasa utaletaje amani wakati umeshikilia siraha?kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.com