tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post6470362468930951036..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Chemsha bongo...Mjini ni wapi?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-46662409669220850052011-05-31T20:14:43.501-04:002011-05-31T20:14:43.501-04:00mjini kwa kila mtu ni pale penye vitu ambavyo haja...mjini kwa kila mtu ni pale penye vitu ambavyo hajawahi kuvitumia ila havina uasilia. Ni pale watu wanapopishana bila kusalimiana wala kuulizana wamekula nini jana. Mjini ni pale huulizwi umevaa nini wala jina lako nani au unatokea wapi. Mjini ni pale unaweza kupata mpenzi bila kuulizwa imekuwaje? Mjini ni pale unapolala njaa hakuna anayeshangaa wala kujua ni vipi. Mjini ni pale unaweza kukopa bila kutangazwa kwa majirani. Mjini shule, mjini jalala la kila taka, mjini ni maendeleo ya kurudi nyuma na mbele maana utu hakuna, mjini hakuna wazazi ila baba fulani basi. Mjini bwana, we acha tu! hata aliye marekani kuna sehemu anapaita mjini. Anayekaa Pelham, Westchester count, anasema Manhattan ni mjini. Akifika pale Grand Central anataka aende Times Squre ndo aseme kafika mjini lakini wewe ukitoka Bugandika ukafika Pelham utafikiri umefika Dar! We acha tu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-85186441178883302162011-05-20T07:08:36.587-04:002011-05-20T07:08:36.587-04:00mhh shana. ila sasa kwa mlolongo wako, basi mjini ...mhh shana. ila sasa kwa mlolongo wako, basi mjini ni marekani na ndio maana uko huko mpaka leokamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-25905724146052210012011-05-18T08:51:16.962-04:002011-05-18T08:51:16.962-04:00Mjini ni wapi? ,,,,je kama ni swali ndio hili mimi...Mjini ni wapi? ,,,,je kama ni swali ndio hili mimi ningependa labda tungeanzia na wapi ni kijijini?...Nimekumbuka kitu nilipokuwa nyumbani Songea -Ruhuwiko kakangu akaniambia kuwa anaenda mjini nami sikumwelewa kabisa nikamuuliza mji gani akasema Songea mjini....kaaazi kwelikweli!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-65904143742349448102011-05-18T06:42:08.064-04:002011-05-18T06:42:08.064-04:00Mkuu umetoa wazo la changamoto kweli, lakini mjini...Mkuu umetoa wazo la changamoto kweli, lakini mjini ni sehemu iliyojengeka vyema, ili inazidiana kati ya moja na nyingine.<br /> Kwa msemo tukimaanisha `mjini' ni sehemu iliyoboreshwa zaidi ambapo huenda kuna kila kitu moyo unapenda, sasa wapi na vipi, hiyo inategemeana na mtu mwenyewe na nafsi yake!,emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.com