tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post6473810904084089146..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": ADHABU: Changia kuhusu adhabu hiiMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-73806352804891683632009-07-25T14:19:20.697-04:002009-07-25T14:19:20.697-04:00Shukrani kwa mchango wa maoni yenu. Hatua zimeshaa...Shukrani kwa mchango wa maoni yenu. Hatua zimeshaanza kuchukuliwa kuhusiana na hili.
Shukran Fadhy na Chib!Subi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-21541950958294992242009-07-25T08:35:29.881-04:002009-07-25T08:35:29.881-04:00Adhabu kwa utendaji wa kosa ni sawa, lakini isizid...Adhabu kwa utendaji wa kosa ni sawa, lakini isizidi ikawa ni ile ya hasira, lakini kwa binti huyu kuadhibiwa kwa kuwa kakataa kutimiza azma nyingine ya mwalimu, nashauri aende kuripoti polisi, na pia aende akatibiwe. Hakuna cha kuogopa, asipofanya hivyo huyo mwalimu ataendelea na tabia hiyo, na hatuwezi jua kama ana ukimwi. Ataangamiza maadili ya watoto na jamii. ASHITAKIWEchibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-22890650404602386702009-07-24T02:27:51.405-04:002009-07-24T02:27:51.405-04:00Nami nakubali bakora ziendelee kuwepo. Lakini lazi...Nami nakubali bakora ziendelee kuwepo. Lakini lazima kuwe na udhibiti.
Walimu wengi hupenda kuchapa wanafunzi bakora pasipo mipaka.
Hali hii mara nyingi huleta madhara makubwa kwa wanafunzi hao. Mi nadhani kuna haja ya mamlaka za elimu kulipa jambo hili usimamizi wa hali ya juu.

Nikiwa shule nilishuhudia uchapaji wa kikatili sana. Mwalimu moja alipenda kumshusha mwanafunzi sarawili yake na kisha kumwachia bakora pasipo huruma. Hali ile iliacha madhara makubwa kimwili na kisaikolojia kwa wanafunzi. Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu niliingia kwenye kumi na nane za mwalimu huyo. Niligoma kufanya hivyo. Akarusha ngumi, nikaikwepa akapiga ukuta. Akasema kwa uongozi wa shule nimemtishia kumdunda. Nikasimamishwa shule miezi miwili. Kwangu ilikuwa ni afadhali hilo, hata mzazi alinielewa. Niliporudi tukaanzisha movement ya kupinga ukatili ule. Tukafanikiwa kuleta mabadiliko.

Nataka kusema kwamba, kuna walimu walio na ukatili kuliko binadamu wa kawaida anavyoweza kudhani.

Ushauri wangu kwa walimu, wabadilike. Hatukatai mtoto akikosa aadhibiwe. Lakini adhabu shurti iwe ya kibinadamu. Kiukweli toka moyoni, nawachukia mno walimu wa staili hiyo. Ningekuwa na uwezo sijui hata ningewafanyaje.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com