tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post6523610414051503169..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Dunia na maji yakeMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-6267920710947736672010-03-24T11:46:09.945-04:002010-03-24T11:46:09.945-04:00soko ambalo halijagunduliwa hapa kwetu afrika mash...soko ambalo halijagunduliwa hapa kwetu afrika mashariki ni maji ni ajabu lakini kweli kuwa jumuiya yetu imezungukwa na maji ya maziwa na mito yanayofanya sehemu kubwa ya maji ya afrika lakini watu bado hawana maji! si Kenya si Uganda si Tanzania! UCHUMI ULIO IMARA hautafikiwa kama nishati hii muhimu haipewi umuhimu wake. si ajabu kupita nairobi ama Dar es saalam na kukuta watu wana chota maji katika bomba lililo katika mitaani- la sivyo wanatwangwa bei za kuwaangusha na wauza maji wajanja. maji ni muhimu..DUNIA NA MAJI YAKE...tuamke...........Sisuluhttps://www.blogger.com/profile/17519890246968676787noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-38563600751458002752010-03-24T11:44:34.888-04:002010-03-24T11:44:34.888-04:00This comment has been removed by the author.Sisuluhttps://www.blogger.com/profile/17519890246968676787noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-16000161159887385522010-03-24T05:34:49.792-04:002010-03-24T05:34:49.792-04:00nayanazidi kupungua. ila mimi niliko kuna maji ya ...nayanazidi kupungua. ila mimi niliko kuna maji ya baridi na mengi hajabu. ukitaka kujua tatizo hili tembelea dar, mikoa ya kati uoone, maj ni kama dhahabu ila kwetu ni bidhaa ya kuchezea tukamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-28918391907250141372010-03-23T08:36:43.323-04:002010-03-23T08:36:43.323-04:00Kwa kweli ukija kwenye jambo la maji, nilikuwa sia...Kwa kweli ukija kwenye jambo la maji, nilikuwa siamini na wanangu walikuwa wananiuliza kila siku "mama lipi ni tatizo kubwa maji au Umeme" nikawa nashindwa kuwajibu mpaka jumamosi iliyopita ilipotokea kuwa hatukuwa na maji nilishindwa hata kunywa chai. Hakukuwa na maji kwa muda wa siku nzima. Na sasa najiuliza masaa 24 tu ilikuwa hivi je kwa wale wasio na maji na hasa maji safi na salama inakuwaje? KWA KWELI MAJI NI UHAI WA BINADAMU.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com