tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post6609043757209169834..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Namjibu Prof. MatondoMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-23462514953030372082010-02-08T21:13:13.539-05:002010-02-08T21:13:13.539-05:00LOL! Doh!!! Poleniiiiiii!!!! I hope this doesn'...LOL! Doh!!! Poleniiiiiii!!!! I hope this doesn't come to us...ikija basi the whole country will be DEAD! DEAD I TELL YOU! (I meant shut down)Faith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-19835789852219218142010-02-08T04:05:05.999-05:002010-02-08T04:05:05.999-05:00pole sana kaka na hiyo hali ya huko maana ni noma....pole sana kaka na hiyo hali ya huko maana ni noma.Othman Michuzihttps://www.blogger.com/profile/03079913848444767692noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-65730537698083186322010-02-08T03:54:31.155-05:002010-02-08T03:54:31.155-05:00Nakumbuka mwaka wa kwanza nilipofika hapa Sweden. ...Nakumbuka mwaka wa kwanza nilipofika hapa Sweden. ilikuwa ni mwezi wa kumi na mbili na kulikuwa na theluji nyingi kama mwaka huu. Nami nilichofanya nilivaa kkanga na ndala zangu na halifukiT-shirt tu na kutoka nje. Halafu cha ajabu sikusikia baridi. Ila sasa wee! kazi kwelikweli.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-19458078966762123642010-02-08T03:47:50.939-05:002010-02-08T03:47:50.939-05:00Sasa kama Makambako kwa Bongo ndo tunasema baridi,...Sasa kama Makambako kwa Bongo ndo tunasema baridi, huko kwa Mubelwa patakalika?

Dunia inabadilika kwa kasi mno. Muda si mrefu, tatizo hilo unalokumbana nalo Mube halitakuwepo. Sasa najaribu kufikiri, huko pakishakuwa shwari (kwa maana ya anagalau kuwa kama kwa Profesa Matondo, mitaa ya huku kwetu Ikweta itakuwaje?

Ni akina nani itabidi wahame makwao, sie wa Ikweta, ama nyie wa pembezoni ambamo nako kutakuwa panafurika maji?

Mikutano ya kimataifa imeshindwa kulizungumza kiutatuzi suala hili. Tuchukue hatua za kuzungumzia suala hili kwa wananchi wetu. Twafa jama. Twafa tukizama.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-33360173851457141272010-02-08T02:38:37.453-05:002010-02-08T02:38:37.453-05:00Nadhani Mwanafalsafa Mtakatifu Kitururu ameliweka ...Nadhani Mwanafalsafa Mtakatifu Kitururu ameliweka suala zima katika muktadha fasaha mno na sina cha kuongezea.

Masaa manne ukihangaika na barafu mbona kasheshe? Windshield na madirisha ya gari havipati nyufa na kupasuka?

Kuna kazi kule Washington D.C. nashawishika kuiomba mwaka kesho na kama nikiipata basi tutakaribiana huko huko kwenye barafu. Kazi kweli kweli!Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-10815839017997751582010-02-07T23:28:30.962-05:002010-02-07T23:28:30.962-05:00Kwa mimi niliyezowea joto na jua kali la Dasalama ...Kwa mimi niliyezowea joto na jua kali la Dasalama nadhani huo unga wa kaka Matondo ningeuona ishu kuliko hata yeye alivyouchukulia.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-41049815320633208092010-02-07T20:13:19.938-05:002010-02-07T20:13:19.938-05:00Kaka Mkodo.
Hii yanikumbusha lileee suala la "...Kaka Mkodo.
Hii yanikumbusha lileee suala la "VIJISENTI" la Mhe Chenge.
Yaani kile anachokiona Mwalimu Matondo kama SNOW, wenzake twaita "VIJI-SNOW". Sawa na yale MAMILIONI ambayo Mhe Chenge aliyaona kama "VIJISENTI"
Hivi tunastahili kumlaumu Chenge?Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-34235567420708431612010-02-07T19:50:29.516-05:002010-02-07T19:50:29.516-05:00Hapo ndio MTU utastukia jinsi tatizo la mtu LIMLIZ...Hapo ndio MTU utastukia jinsi tatizo la mtu LIMLIZALO akilitamka liwezavyo kumchekesha mtu .:-(

Ila kwa bahati mbaya kila mtu analisikilizia tatizo kibinafsi kwa hiyo uzito wa tatizo HILOHILO watofautiana kutoka mtu na mtu.

Pole Mzee wa CHANGAMOTO kwa kuhangaika na kitita cha theluji na barafu! Nilipo shughuli yenyewe ndio hiyo!:-)

Pole pia Prof Matondo kwa kukerwa vilivyo pia na kiwinta kilichozalisha unga huo!:-)Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com