tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post6628687153449276438..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Them, I & Them...INNOCENT NGANYAGWA...Sumu ya UdhalimuMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-83576660498996306722009-01-27T05:47:00.000-05:002009-01-27T05:47:00.000-05:00mambo ya albino sio ubaguzi bali tatizo ni dini ze...mambo ya albino sio ubaguzi bali tatizo ni dini zenu hizi za miujiza kwa kwenda mbele.<BR/>ila mimi sielewi vizuri dhana ya ubaguzi wa rangi ninini, sijui kama hupo ila kuna kujilinganisha. kuna wanaojiona bora kuliko wengine na kufanya vituko sasa na wewe unatamani kuwa kituko kama wao eti ni haki! mi cjui ila wenye haki waliishakufa.<BR/><BR/>maalbino nao wanapendekeza wanaowauwa wauwawe, nani kasema dawa ya moto ni moto na sio maji, mvua wala upepo?kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-57150193041676072502009-01-26T06:54:00.000-05:002009-01-26T06:54:00.000-05:00Hii ni changamoto kwetu kama kizazi ambacho kinaka...Hii ni changamoto kwetu kama kizazi ambacho kinakabiliwa na ubinafsi kupindukia. Tunatakiwa kuona ukweli kwamba tuendako siko kule tunakotoka kila leo. Ni jukumu letu wananchi wewe na mimi, na maoni yetu ni jinsi gani tutaweza kukomesha haya mamboMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.com