tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post6779801277857976335..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Hivi marais wana dini ama imani?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-50969205488351379062009-02-25T23:23:00.000-05:002009-02-25T23:23:00.000-05:00mpaka tutakapo elewa hili somo,ndipo tuta jua kwa ...mpaka tutakapo elewa hili somo,ndipo tuta jua kwa nini sisi waafrica tuliacha kuendeleza imani zetu. nakwambia kitu kimoja it's a big secret kwanini mwenye nguvu ni mzungu na mwarabu na pia ndio wanao MILIKI UKRISTO NA UISLAM. labda na waafrica wangemiliki mila zao na kuziendeleza duniani kote! tunge kuwa like them by now HUWEZI ELEWA NI IMANI,ELIMU,UBUNIFU NAKADHALIKA. WE CAN ALWAYS DISCUSS TO GET CONCLUSION .THANXAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-78192104141344907082009-01-25T18:48:00.000-05:002009-01-25T18:48:00.000-05:00Niliposoma kichwa cha habari tu, kabla ya kujua ma...Niliposoma kichwa cha habari tu, kabla ya kujua maudhui, nilitabasamu kwa kuwa nilishaona mtizamo wako katika kuuliza swali hili. Ni sawa na kusema kuwa, umewaza sana na kwa kweli ungeambiwa uandike mawazo yako kutokana na habari hii, nafasi isingetosha. Ungeuliza, kama wana imani ni kwa nini huwa wanaiba?
Kama wana imani ni kwa nini wanakandamiza na kukubali ukandamizaji.
Kama wana imani na wanafahamu kuwa siku ya kiama inakuja, ni kwa nini wanaruhusu haki ipindishwe?
Kama wana imani ni kwa nini wana uchu wa madaraka?
Kama wana imani ni kwa nini wanaongopa wakati wa kampeni na wakishapata nafasi hawarudi kwa wananchi kuwaomba samahani kuwa walichodhania watakikuta huko kwenye uongozi sicho kilichopo na hivyo watashindwa kukamilisha ahadi zao?
Kama wana imani ni kwa nini wasikubali kupisha wengine kwa hiyari yao kuliko kung'ang'ania na kuendelea kuharibu zaidi na zaidi?

Hivi huyo wanayemuapia ama hicho wanachokiapia kwa imani zao, huwa wanajisifu kuwa emekula kobisi tu kiaina?Subi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-67180854283429526212009-01-22T22:16:00.000-05:002009-01-22T22:16:00.000-05:00Vitabu , picha na ...washikavyo vina nguvu??Vitabu , picha na ...washikavyo vina nguvu?

?Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-65722721100249775632009-01-22T05:27:00.000-05:002009-01-22T05:27:00.000-05:00Asante Kaka Fadhy. Karibu tena nami nimekuwa na mt...Asante Kaka Fadhy. Karibu tena nami nimekuwa na mtazamo wa hivyo. Kuwa pengine wanazo za utotoni maana maamuzi yao yantia shakaMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-34782302785705997112009-01-21T22:53:00.000-05:002009-01-21T22:53:00.000-05:00Sijui wanazo dini, siri yao mioyoni,Sijui za utoto...Sijui wanazo dini, siri yao mioyoni,
Sijui za utotoni, ama hivi ukubwani,
Sijui kama moyoni, wanayo kweli imani,
Nadhani hawana!Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com