tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post7012701944622575176..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Ndiko yalikoanzia?????Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-27913625082550753302009-07-20T13:38:34.582-04:002009-07-20T13:38:34.582-04:00Aliungua vibaya sana sana aisee, kama ni hii, basi...Aliungua vibaya sana sana aisee, kama ni hii, basi kweli aliungua na kuumia. kupata 2nd na 3rd degree burn si mchezo na inavyelekea kweli alipata 3rd degree burn kwa kuwa ile huunguza neva ambazo ni mishipa ya fahamu hivyo huwezi kusikia wala kuhisi maumivu yoyote hadi mtu anayekuona unaungua akuambie. Marehemu Babu yangu alifariki kwa 3rd degree burns, hadi anafikishwa hospitali, yeye anadai arudishwe nyumbani, haelewi ni kwa nini wamemwamsha kutoka usingizini, kwa kweli kumwona alivyokuwa ameungua mgongoni, ilibidi kumlaza kwa tumbo, yeye haelewi ni kwa nini, ndipo utaomba imani, alifariki siku chache baadaye! Burn wounds si mchezo na ni ngumu kweli kutibika, hasa ikiwa ni 2nd wachilia mbali 3rd degree burn! Si mchezo.Anonymousnoreply@blogger.com