tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post7131875559556540521..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Ni DHAMBI, HARAMU, HATARI ama ni siasa katika hili?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-92223539384702651052009-07-25T23:53:25.665-04:002009-07-25T23:53:25.665-04:00Mada nzuri hii Mzee wa Changamoto kitu chohchote k...Mada nzuri hii Mzee wa Changamoto kitu chohchote kinadhuru mwili wa binadamu ni haramu na si cha kuruhusiwa kutumika kihalali na wakati kinatumika kiharamu na kuharibu afya za watu.Born 2 Sufferhttps://www.blogger.com/profile/04854277993161205276noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-70449716839384729662009-07-25T15:17:38.768-04:002009-07-25T15:17:38.768-04:00Ahsante kaka Mubelwa kwa kulileta hili.
Pia shukra...Ahsante kaka Mubelwa kwa kulileta hili.
Pia shukrani kwa da Subi kwa link hiyo. Wacha nami nikaisome.

Lakini kabla sijatoka, naweka mchango wangu.

Mi naamini bangi ina madhara makubwa kuliko hizo pesa watakazozipata. Nadhani siasi inajali zaidi maslahi ya kundi fulani kuliko ustawi wa wananchi wake.

Inafahamika wazi juu ya madhara ya bangi. Wataalamu wanasema inasababisha kupungua kwa uwezo wa kufikiri, inadumaza akili. Na kuchochea maamuzi mabaya.

Pia inasemwa kuwa inaharibu utengenezwaji wa manii (sperms) na hivyo kuchangia uhanithi.

Inaelezwa kwamba, bangi hiyo hiyo inasababisha kansa ya mapafu na kansa ya damu.

Kama ndivyo, serikali inaona poa tu, bora pesa ipatikane! Ni kama sigara, nayo wataweka maandishi, "ina madhara kwa afya yako" ilhali matangazo yao ya biashara yanatoa ushawishi kuwa, "haya ndiyo maisha"

Kazi ipo, wala si ndogo.

Ni hayo tu!Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-58356005543763912442009-07-25T14:50:02.276-04:002009-07-25T14:50:02.276-04:00Asante saaana Da Subi kwa LINK ambayo naamini weng...Asante saaana Da Subi kwa LINK ambayo naamini wengi wataweza kuisoma na kuelimika zaidi.
Pengine tunaweza kuanza kujiuliza kuhusu HESABU ZA KISIASA kama ambavyo nilishauliza zamani. Kwa kuwa yaonesha kuna madhara kama niliyosoma, unaamini kuwa majimbo yanayoruhusu yanajali pesa na mafanikio yao ya kisiasa kuliko uhai wa watu (kama ambavyo imekuwa kwa wanasiasa wengi?)
Yaonesha sasa kinachoangaliwa ni namna ambavyo uchumi wa jimbo utaweza kurejea kuwa pale ambapo walio madarakani wataonekana wana MIPANGO THABITI kuliko "ukweli" wa athari za namna wanavyosaka kurejesha uchumi huo.
Politricks.Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-91309258017915436952009-07-25T14:07:22.121-04:002009-07-25T14:07:22.121-04:00Ni jana mtu mmoja ameuliza swali hili hili, juu ya...Ni jana mtu mmoja ameuliza swali hili hili, juu ya habari ya athari ya banghi, hashish, ndumu, jani, marijuana nk. Nikatuma linki inayojieleza vyema kutoka kwenye tovuti ya Serikali ya Marekani.
Nikiwa najibu kuweka maelezo marefu hapa, nimeshindwa kuposti kutokana na kizuizi cha idadi ya herufi zinazoruhusiwa na blogger katika kisanduku cha maoni (5000 tu), herufi zangu yangu zilikuwa yanazidi namba 5000 hivyo naona ni vyema kuweka linki ili Muuliza swali na Msomaji wapate kurejea kwa ujuzi zaidi.
Link ni hii:
http://www.nida.nih.gov/Infofacts/marijuana.htmlSubi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.com