tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post7152261595196540896..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": BURIANI Prof HAROUB OTHMANMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-64866313913438180742009-06-29T13:33:41.460-04:002009-06-29T13:33:41.460-04:00Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi. Mimi pi...Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi. Mimi pia alinifundisha Mliman Development studies hasa kwenye mada ya Civil society.<br /><br />Ilikuwa ni wiki ya kipekee, ukizingatia kuwa ni mfululizo wa vifo vya watu mashuhuri. Ukianzia kwa Michael Jackson, Horoub Athman na Sheh. Gorogosi. Lakini yote ni mipango ya mungu sisi binadamu hatujui makusudi yake.malkioryhttps://www.blogger.com/profile/05134160827358623563noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-62429633375972245122009-06-28T15:56:32.511-04:002009-06-28T15:56:32.511-04:00Dah! Prof. Haroub Othman alinifundisha pale Mliman...Dah! Prof. Haroub Othman alinifundisha pale Mlimani. Alikuwa mmoja kati ya maprofesa wazuri kabisa na wachambuzi makini wa masuala ya kisiasa na maendeleo na alijulikana Afrika na ulimwenguni kote. Hili ni pigo kubwa. Mungu ampe pumziko jema!Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-23717599900812000212009-06-28T13:21:58.421-04:002009-06-28T13:21:58.421-04:00Marehemu astarehe kwa amani peponi amina.Marehemu astarehe kwa amani peponi amina.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com