tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post7202367825251971033..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Tatizo lipo ndani mwetu na si baina yetuMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-40943655570302992292009-04-23T20:28:00.000-04:002009-04-23T20:28:00.000-04:00''ni sisi, ni sisi, ni sisi.''
Umemaliza Kamanda....''ni sisi, ni sisi, ni sisi.''

Umemaliza Kamanda.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-71031960983183073492009-04-23T11:54:00.000-04:002009-04-23T11:54:00.000-04:00Sisi watanzania aliyetuloga kafa na hata kaburi la...Sisi watanzania aliyetuloga kafa na hata kaburi lake halijulikani lilipo......kazi ipo...Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-84230278582759441932009-04-23T09:08:00.000-04:002009-04-23T09:08:00.000-04:00Duh!! We Kamala we!!! Anyway, nimesema sisi na nin...Duh!! We Kamala we!!! Anyway, nimesema sisi na ninaamini hata kuweza kusema ni hatua ya kwanza ili kucjhukua changamoto kama hii uitoayo. Kisha mimi nawe tunaweza kusonga zaidi ya hapa. Hivi ninaeleweka? Ok. Nadhani hii ni hatua ya kwanza kwangu na kwa wewe kuuliza ulivyoliza ni hatua nyingine na pengine mwingine atasoma na kufikiri na / ama kuweka wazo naye atakuwa amefanya hatua nyingine.
Kwa hiyo nashukuru kwa kuwa "sehemu" ya suluhisho.
BlessingssssMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-25497250187337553552009-04-23T08:24:00.000-04:002009-04-23T08:24:00.000-04:00unajaribu kumaliza tatizo kwa kuliongeza tatizo ka...unajaribu kumaliza tatizo kwa kuliongeza tatizo kama msemo wa blogu yako ulivyo kuwa uonavyo tatizo ndilo tatizo labda kuliko tatizo lenyewe.

yaani unawalauma majamaa fulani tu. unawalaumu wanaotegemea nje na wasiozunguka kuandaa sera japo utwambii wewe kama wewe ume/unafanya nini juu ya hilo uliitalo tatizo!kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.com